Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,388
- 191,462
njedi...jamithi?Kumbe wewe ni urewedii ja henyu😆😆😆
njedi...jamithi?Kumbe wewe ni urewedii ja henyu😆😆😆
Samehe 7 mara 70 maandiko yanasemaAcha baba paroko akipata picha ya mtu ni kusambaza unamjua flani ndio huyu inahusu nini utoto tu
Usimfanye mshua ni mgumu kama anafanana na wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna baba angu ana sura ngumu sura ya kiume jamani
Umeanza lini michambo mtakatifuUmeona hii??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1656737
Kweli mdogo wanguYaan cc unajua kunifurahisha,
Karma ndiyo maana unajifanya tomboy [emoji23][emoji23][emoji23] una kesi ya kujibuHahaha mkuu unafikiri nakutania? Mie baba yangu siyo mzuri na ndiyo nimefanana naye copy hivyo mie siyo pisi kali wala sina uzuri wowote!
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Jirani nakusalimiaHivi anadimpozi ee..ngoja nikamwangalie tena
Umekula nini leo mama😅Hakuna Cha rangi Wala nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Anayedhani ni rangi basi naye ajichubue aone Kama mtafanana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2098]
Kwema sana mkuu, mgodi haujatema tu usambaze hizo usa dola kwa mdada Heaven Sent,Msukuma wa Ntuzu Bariadi-Simiyu
Vipi kwema lakini mkuu
Ni wapumbavu mno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aiseee
Humu ndani unaweza shangaa tu watu wanafile lako la story tena za uongo,wanajazana tu huko.
Mtu Kama anataka kujua kitu toka kwako ni Bora akakufuata mwenyewe akakuuliza.
Na watu walivyo wajinga Sasa,hawakufuati muhusika kukuuliza,Wanaenda kuuliza sehemu nyingine na kujazana stories za uongo na wanakuja kuconclude humu Kama wanayajua maisha yako yote.
Mghoshi eka kunjazaIwe ni mtana kwei [emoji7] teso nkuti kinhu chedi mame
Amekuwa ba mkweMke wangu amekua kua kidogo,?
Jirani sijui ndo umeamua kunipiga kibutiii maana hata sielewi.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Jirani nakusalimia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zawadi spesho nsiyoiteiaHivi ni kini che wafanye wandee wakishambaa watana kwei, ambu ni rangi yenyu ye mng'alo. Moyo wangu uita kasi kwei shunie...nkunda siku ing'we nkunkhe zawadi spesho.
Imi nkumemeza upendo, hukunda?Mghoshi eka kunjaza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwee usiniambie na wewe picha zangu zimeshakufikia [emoji2296][emoji2296]
JF jamani daah [emoji3064][emoji3064]
Umeanza lini michambo mtakatifu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umekula nini leo mama[emoji28]
Kisambaa hikoDuuh kipare ndiyo kirahisi hivyo? Maana hapo naona ni kiswahili tena kinachoeleweka kabisa hicho?