Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,276
- 95,555
Ahsante, nishapoa , nipo fresh Rafiki kipenziPole rafiki yangu kipenzi[emoji16][emoji16][emoji16]hujambo lkni baba
Ahsante, nishapoa , nipo fresh Rafiki kipenziPole rafiki yangu kipenzi[emoji16][emoji16][emoji16]hujambo lkni baba
Yes kaka, Nyiao Mimikumbe na ww wa nymban mkuu[emoji16]
Heaven Sent umeweka picha au bado uko kikaoni?
Kikao chenyewe unaelewa au mwenzangu na mie tu?Ngoja kwanza kikao kiishe[emoji2][emoji2][emoji2]
BinamuBihashara[emoji7]View attachment 1657049
😀😀😀😀😀 Tukikaushie mambo yasifanywe kuwa mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiite tu kwa kweli ila tu kisije kikamtaja muhusika uzi wetu pendwa ukapigwa pingu bure maana wengine hiki ndiyo kijiwe chetu pekee tukifukuzwa huku tutaanza kurandaranda tu huko mitaani
Tangu alivyoahidi ndiyo akatukimbia mazima Mwenzetu
Naona leo kamati ya maadili imekaa ikitioa madukuduku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na hakuna wanafki kama wanaume wa jf unaona wanakupenda kukukula wanakukula na siri wanatoa
Mweeh! Mie kuna muda huwa napita nalike tu hata bila kusoma wala kuangalia nani kakomenti.Juzi kati hujalike mguu wangu hapa? [emoji3]
Hivi unajua roho inavyouma jambo linapoongelewa afu wewe apeche alolo, inaumaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kikao chenyewe unaelewa au mwenzangu na mie tu?
Huko nyuma kuna picha ama nianzie hapa hapa nilipoanzia?Mweeh! Mie kuna muda huwa napita nalike tu hata bila kusoma wala kuangalia nani kakomenti.
Nasubiri kapicha bwana.
Nipe mimi nitakukula na nitakaa kimya muumini wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], wakina nani wambea hivyo muwataje basi tuwaweke katiNa hakuna wanafki kama wanaume wa jf unaona wanakupenda kukukula wanakukula na siri wanatoa
[emoji16][emoji16]nakijua haswa mkuu...,mana nimekulia usambaani....Yes kaka, Nyiao Mimi
Unaonekana unakijua haswaa
ila Kuandika kisambaa ni ngumu hahahh
Halafu bora uachwe na gari kuliko umbea, inauma hatari.NHivi unajua roho inavyouma jambo linapoongelewa afu wewe apeche alolo, inaumaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka picha bwana acha siasa. Usiwe kama Heaven SentHuko nyuma kuna picha ama nianzie hapa hapa nilipoanzia?