Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Wacha bhana..ndo unaenda ukweni!!Wee dea kesho me nipo safarini, naenda kaskazini plz maombi yako muhimu kwangu.
![]()
Naomba upande BM bus lile lizuri uje unipe mrejesho
Wacha bhana..ndo unaenda ukweni!!Wee dea kesho me nipo safarini, naenda kaskazini plz maombi yako muhimu kwangu.
![]()
Nakuambie, ubinamu kazi basi tu tujikaze tu tuulinde undugu,



Binamu uvumilivu utanishinda mimi kwan kuvunja ukoo sh ngap? tuwe tu mume na mke maan T 1990 ELY naye kanitelekeza 
Mzee wa kuchabo kimya kimyaHahahaha haya bana ,Rafiki kipenzi ,mie Nilikua napita tu

YewooooomiiiiiieeeeeBinamu uvumilivu utanishinda mimi kwan kuvunja ukoo sh ngap? tuwe tu mume na mke maan T 1990 ELY naye kanitelekeza
![]()




Utakuwa matron usijali

Hahahaha, hujambo bibieMzee wa kuchabo kimya kimya![]()
Kwa kweli hapana siko pouwaHahahaha, hujambo bibie

Duh,nini tatizo tena mtoto mzuriKwa kweli hapana siko pouwa![]()
Hata chai sijapata leo, nikiona hivi dah!!
Salute afande nilikuwaga nakuhisi kumbe kweli.
Napata wapi ujasiri wa kukutelekeza wewe mwanamke mzuri...Binamu uvumilivu utanishinda mimi kwan kuvunja ukoo sh ngap? tuwe tu mume na mke maan T 1990 ELY naye kanitelekeza
![]()
Mmmmh.....
HahahahaSalute afande nilikuwaga nakuhisi kumbe kweli.
CameramanHahahaha
wa TPDF.Oooh safi sana,hongera zake kijanaCameramanwa TPDF.