Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,321
Acha tu Best.. ndiyo nilikuwa nawaza hapa.. Ile kamati kuu ikiyajua haya kuna mtu ataachwa kweli? Ubaya sasa kile kikosi kinaingiliaga ugomvi halafu ukiisha ndiyo wanauliza shida ilianzia wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa wale wengine wajue haya bidada atachambwa mpaka ukucha wa mwisho