Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,392
- 59,148
Mtejeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi mmemtaja au bado nilale tu? Kama mnamuogopa niambieni mimi nimtaje.
Mtejeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi mmemtaja au bado nilale tu? Kama mnamuogopa niambieni mimi nimtaje.
Nipeni jina hilo basiMtejeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂 Ngoja karma na Shunie waje na jina😂😂Nipeni jina hilo basi
Yaani yule dada kajua kutuchonganisha watu jamani! Watu tunashikana uchawi huku tunagombana kumbe mchawi mwenyewe katulia tu anatucheck na anavyojua kujisafisha sasa ili yeye aonekane innocent!Dah ona sasa haya matatizo yanatuaffect wengi.
Si ajabu kuna watu wameninunia humu sababu ya hayohayo na mimi sijui[emoji23][emoji23]
Bora wewe rafiki yangu uliniuliza,Sasa wengine wameninunia kimyakimya dah maisha haya[emoji1787]
Ila Mimi case yangu sidhani kama inahusiana na hiyo [emoji1787]Yaani yule dada kajua kutuchonganisha watu jamani! Watu tunashikana uchawi huku tunagombana kumbe mchawi mwenyewe katulia tu anatucheck na anavyojua kujisafisha sasa ili yeye aonekane innocent!
Unafikiri mie huwa najua kuchunguza mtu basi! Mie nilikuwaga namsoma tu juu juu na tulivyokuwa tunachitchat nikajikuta nimetokea kumuamini tu hadi tukafahamiana!Ila ukimchunguza mwandiko wake kwa kina lazima ugundue kitu.niamini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipoooo bado wapo baadhi. Juzi Weekend kuna uzi mmoja ulitrend hapa JF wa Mdada mmoja wa Mjini waliushambulia ule uzi balaa..Nilicheka mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kama wewe tu
Sawa Ely
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kula wewe acha ujinga [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karma ebu njo pm [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama utamlipua mlipulie sehemu nyingine..kwenye huu uzi usifanyie malipuzi ukafungwa buree...bado tunauhitaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sana.. hamna jambo dogo[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanakamati
sina mbui mghoshi... nitekuughusha du, wa kaya.....Niedi mghosingwa, onga
😂😂😂😂😂 Sasa wale wengine wajue haya bidada atachambwa mpaka ukucha wa mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sana.. hamna jambo dogo[emoji23]