Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwenzie yule nafanya naye mishe nimemnanga juzi [emoji38]
Akabisha[emoji1787]..nikasema yaani nikiona zimesambaa moja kwa moja nitajua ni yeye.
Teh teh halafu nasikia amewahi kumkula! Huyo ndugu yako naye kumbe mhuni tu bahati yake tu hayuko kwenye ile list ya yale mafurushi ya MMU na hajulikani sana humu!
 
Pole Sana
Huo mkasa wa picha ya huyo dada mpole kusambaa niliusikia..

Hata mm imeniumiza maana Karma alianza nihisi mimi kuwa nimeitoa kumbe Wala hata[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na yawezekana niliona status ila sikugundua Kama ni huyo,hata km niligundua basi niliishia kuangalia tu.

Sasa baadaye ndio anakuja niambia masikini mtoto wa watu nashangaa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Kumbe na yako inatafutwa?[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli yaani ilibaki kidogo nikutupie lawama wewe sababu nilihisi na wewe uliziona zile status ukamgundua kuwa ni yeye ukaziiba
 
Back
Top Bottom