Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli yaani ilibaki kidogo nikutupie lawama wewe sababu nilihisi na wewe uliziona zile status ukamgundua kuwa ni yeye ukaziiba
Dah ona sasa haya matatizo yanatuaffect wengi.
Si ajabu kuna watu wameninunia humu sababu ya hayohayo na mimi sijui[emoji23][emoji23]
Bora wewe rafiki yangu uliniuliza,Sasa wengine wameninunia kimyakimya dah maisha haya[emoji1787]
 
Ohoo kwa zile comments zake mama hauwezi kuamini kama ndiyo mswahili hivyo! Anaonekana mstaarabu ndiyo maana ni rahisi sana mtu kumuamini!

Unajua kuna mtu mwingine kutokana na comments zake tu hauwezi kukubali kuchat naye hata pm yaani hautataka mazoea naye kabisa! Ila yule aise sikutegemea!
Ila ukimchunguza mwandiko wake kwa kina lazima ugundue kitu.niamini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakipata sana mamkubwa
Sijui kimepotelea wapi siku hizi haki kile Kikosi nimekimiss sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipoooo bado wapo baadhi. Juzi Weekend kuna uzi mmoja ulitrend hapa JF wa Mdada mmoja wa Mjini waliushambulia ule uzi balaa..Nilicheka mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ona sasa haya matatizo yanatuaffect wengi.
Si ajabu kuna watu wameninunia humu sababu ya hayohayo na mimi sijui[emoji23][emoji23]
Bora wewe rafiki yangu uliniuliza,Sasa wengine wameninunia kimyakimya dah maisha haya[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom