Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Wachaaaa...Nilijua za kina sisi kumbe Hadi za coca wangu Jamani...binti m'baya yule...ptuuu!!






Wachaaaa...Nilijua za kina sisi kumbe Hadi za coca wangu Jamani...binti m'baya yule...ptuuu!!






🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Imebidi tuulizane Kwanza...
Kabisa yanimkuu huyo mtu ni kama tapeli hivyo muwekeni wazi
HahhaahahaImebidi tuulizane Kwanza...
😁😁Acha bwana kwahiyo anaomba omba
Jamani napigwa mkwara na sakayo wangu nitoke uku jf![]()
Heeeeh wee mbna mnanirusha roho iv, khaaaah had mie tena nimewekwa huko lol,Wachaaaa...Nilijua za kina sisi kumbe Hadi za coca wangu Jamani...binti m'baya yule...ptuuu!!






Acha tu mkwara ninaopigwa sio wa nchi hii
Natumai zangu hazipo kwenye orodha na nilivyo na sura ngumu jamni atakuwa kaniharibia mnoTena cocastic pic zake niliona![]()
Wee acha tyuuuh, kuna kitu natak kujua, na hapa naunga dots, ndo maan mmmmh aseeeh, tumbo linauma wallahMdogo wangu...umeanza lini umbea
Haupo dear we na mimi tumenusurikaNatumai zangu hazipo kwenye orodha na nilivyo na sura ngumu jamni atakuwa kaniharibia mno
Plz nfate PM cc, unipe huo ubuyu.Doridori samwelaaaa...
![]()
🤷♀😁😁😁😁Mwenzie yule nafanya naye mishe nimemnanga juzi
Akabisha..nikasema yaani nikiona zimesambaa moja kwa moja nitajua ni yeye.
Ohooo Asante Jehovah..nimenusurika haki inabidi nikatoe sadakaHaupo dear we na mimi tumenusurika
Barikiwa sana Shem.. Ahsante kwa kutukumbusha. Pengine tulijisahau tukidhani tupo magroup ya Watsap.Yeah, unaweka picha status then anaichukua kuwaonyesha "wanaume", upumbavu wa hali ya juu. Huwa nasema, kuwa makini unapotoa namba yako kwa mtu coz tabia zetu zinatofautiana sana na wanasema duniani Mungu na Teknolojia ndio vitu vya kuogopwa sana.
Sasa, mnapotoa namba zenu muwe makini, siku hizi namba yako ni sawa na wallet unayoweka pesa, vitambulisho vyako, kadi za benki nk, so ni muhimu kabla hujafanya hivyo ujiridhishe. Mfano, leo hii nikiona picha zangu kupitia jf nitajua tu nani amezitoa, so I'm not afraid...
Huyu nani sasa Anne ebu tuambieMwenzie yule nafanya naye mishe nimemnanga juzi
Akabisha..nikasema yaani nikiona zimesambaa moja kwa moja nitajua ni yeye.
Yaani ninavyotishwa WhatsApp kama nimekuwa mtoto mdogo