Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyerere square[emoji7]
Dodoma is beautiful Ila jua lake tu[emoji119]
IMG_20201222_164408_5.jpg
 
Tunaungua huku tunatembea bora wewe unazurula na magari huku sisi watembea kwa miguu kazi tunayo mama
Gari la lift??[emoji1787][emoji1787]
Sema huyu dada ana roho nzuri mno..yaani amekuwa zaidi ya ndugu,ni rafiki ya dada yangu tu ila nakaa kwake utadhani nipo kwetu.
 
Back
Top Bottom