Amna nimeongea tu ila sijui kituHebu mtaje basi na sisi wengine tumjue
Mweee kwahiyo umemfanya daughter wako akuwe handsome




kwani mimi nilitaka basi, nguvu ya damu tu dota!Mbona kama inakuja inakata..ebu ngoja taratibu kabisa nitamjuaYeah mwenyewe niliwaza kumtafuta ila nikaona nisije nikachochea moto zaidi! Maana mtu mwenyewe yule hajatulia akili zake anazijuaga mwenyewe!
Kwahiyo ndo umeamua kuvunga sio😅😅Amna nimeongea tu ila sijui kitu
really name yake inaishia kama na A ukiifanyia phonetic transcriptionKwahiyo ndo umeamua kuvunga sio![]()

Kwahiyo ndo umeamua kunivuruga sio..hayo maphone kitu gani nayawezea wapi mimi mtoto wa watu hebu nirahisishie mambo bas pm.nimeshafungua pm😅really name yake inaishia kama na A ukiifanyia phonetic transcription![]()
Mwanaume kusutwa jau sana.Kwahiyo ndo umeamua kunivuruga sio..hayo maphone kitu gani nayawezea wapi mimi mtoto wa watu hebu nirahisishie mambo bas pm.nimeshafungua pm![]()
nimeshampata tayari brother.asante kwa kuonyesha ushirikiano😅😅Mwanaume kusutwa jau sana.
nimeshampata tayari brother.asante kwa kuonyesha ushirikiano
Ishaisha hiyoooo ngoja tutulie taratibu![]()
Nakupungia..Hahaha zako na za Karma ninazo





Pole ila mamiii mnapata wapi ujasiri wa kuwa na marafiki jf kiasi mnafikia kupeana namba za simu hasa wa kikeMy dear si bora hata angekuwa anasambaza hizi tunazoweka humu tunajiziba! Anasambaza zile zetu tunazomtumia kule whatsapp na anazoziona kwenye status tukiwa hatujajiziba!
Umenishinda kibonge mwenzangu hii kitu inauma sanaUvumilivu ulikushinda kibonge mwenzangu
Usijali mama tutapelekanaWoooiiiiiiii!!!!!...anasoma kimya kimya
Enwei hilo chimbo la nywele naomba unikumbuke tafadhali
Aisee kumbe hadi video imekufiki haki sio vizuriWengine Hadi wana Dance![]()