Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,199
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna namna ni kupiga magoti tu kwakwenda mbele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna namna ni kupiga magoti tu kwakwenda mbele
Anne sio mimi na mimi mpaka nitoe no ujue nimekuamini haya me hayajanikuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu nyie mna bahati mbaya tu,
Mimi watu wenye namba yangu wanajitambua sana..huu utoto nadhani hawana.
Ninawaamini Sana na wamekuwa Kama ndugu zangu .
Pole SanaAnne sio mimi na mimi mpaka nitoe no ujue nimekuamini haya me hayajanikuta
Yamewakuta ndugu zangu sema tu kilichoniuma yeye kutafuta pic yangu kinguvu anijue nafanana vipi
Ndio jf yetu mimi ukimgusa pacha wangu umenigusa mimi yaani ugomvi wake naubeba mimi na analijua hiliPole Sana
Huo mkasa wa picha ya huyo dada mpole kusambaa niliusikia..
Hata mm imeniumiza maana Karma alianza nihisi mimi kuwa nimeitoa kumbe Wala hata[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na yawezekana niliona status ila sikugundua Kama ni huyo,hata km niligundua basi niliishia kuangalia tu.
Sasa baadaye ndio anakuja niambia masikini mtoto wa watu nashangaa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe na yako inatafutwa?[emoji1787]
Halafu dada wa watu alivyo mpole atakuwa alisema acheni tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio jf yetu mimi ukimgusa pacha wangu umenigusa mimi yaani ugomvi wake naubeba mimi na analijua hili
Hapa yenyewe ananipigia kelele WhatsApp nitoke jf hataki kusikia nipoHalafu dada wa watu alivyo mpole atakuwa alisema acheni tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mweee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2098]Hapa yenyewe ananipigia kelele WhatsApp nitoke jf hataki kusikia nipo
Ohoo kwa zile comments zake mama hauwezi kuamini kama ndiyo mswahili hivyo! Anaonekana mstaarabu ndiyo maana ni rahisi sana mtu kumuamini!Aiseh haki amenisikitisha..nilikuwa namuona wakishua kumbe hovyo kabisa
Teh teh Tuma tuNikutumie WhatsApp?[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kupiga mizinga sasa[emoji28][emoji28][emoji28]
Yeah ndiyo hivyo DearKabisa yani[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]***** asambaze tu akimaliza akaoge alale
Ohooo kote tu AnapigaUsiniambie na mizinga anapiga kwa wanaume au kwa sisi wanawake
mkuu huyo mtu ni kama tapeli hivyo muwekeni waziOhoo kwa zile comments zake mama hauwezi kuamini kama ndiyo mswahili hivyo! Anaonekana mstaarabu ndiyo maana ni rahisi sana mtu kumuamini!
Unajua kuna mtu mwingine kutokana na comments zake tu hauwezi kukubali kuchat naye hata pm yaani hautataka mazoea naye kabisa! Ila yule aise sikutegemea!
Acha bwana kwahiyo anaomba ombaOhooo kote tu Anapiga
Umeona enh
Na wanaume wa JF ni wanafiki na wambea wanawake tunasubiri
Heeeeh ana kazi bas ya kukariri photos za watu uwiiiihYes tena anachofanya mfano wewe unapost picha zako nusu huku anazikariri! Halafu tuseme mimi nina picha zako full ambazo nyingine ulipost huku nusu halafu nikakupost Status akiona anaunganisha dots kuwa huyu ni Chakorii maana hii picha aliwahi ipost kule kwenye kuselfika so anaiiba anafanya yake!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Na natamani ingekuwa Leo maana niliamka kisharishari...😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asiombe kikosi cha maangamizi cha wanawake wa JF kikutane kumsuta yeye tu mbona atakimbia nchi kabisa siyo JF tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Shunie weeeh!!Na hakuna wanafki kama wanaume wa jf unaona wanakupenda kukukula wanakukula na siri wanatoa
Hebu ntajie PM cc na mie nimjue lol.Unamjua vizuri ingawa humjui ndiye yeye..ila unacheka nae sana jukwaani...be careful