Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,176
- 35,286
Duh!!!! Tumsamehe bure kwa kweli..[emoji3][emoji3] Jasiri haachi asili best.. inavyoonekana ndiyo hulka yake
Duh!!!! Tumsamehe bure kwa kweli..[emoji3][emoji3] Jasiri haachi asili best.. inavyoonekana ndiyo hulka yake
Hahhaa tunajua sasa labda upendo etiInabidi aache aisee.. hao anaowaonesha wanampa nini kikubwa hivyo etii??
Mmmmh!! Ki ukweli kama anasoma hizi comment aache hiyo tabia.. sijapenda.Hahhaa tunajua sasa labda upendo eti
Hahaha kama nakuona hapo navuta picha umeshika bakora kabisaMmmmh!! Ki ukweli kama anasoma hizi comment aache hiyo tabia.. sijapenda.
[emoji2]acha tu Best. Mwanamke mwenzetu anatufanyia upuuzi wa namna hii kweli? Si bora angekuwa Mwanaume tungesema labda ana sababu zake..Hahaha kama nakuona hapo navuta picha umeshika bakora kabisa
Hata mie nahisi hivyoIla labda ndiyo kibarua chake humu..mwenzetu yupo kazini
Njoo inboboJamani [emoji23]
Nionyeshe basi
Iweke hapa[emoji23]Njoo inbobo
[emoji1787][emoji1787]Sasa je hapo umemaliza
Ebu jamani unajua ukisikia mwanaume anafanya hivi wala hushangai kabisa[emoji2]acha tu Best. Mwanamke mwenzetu anatufanyia upuuzi wa namna hii kweli? Si bora angekuwa Mwanaume tungesema labda ana sababu zake..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] Nakazia
Na ndio wapo hivyo waone hivi yupoje anafananaje ili watunangeHata mie nahisi hivyo
Lazima analipwa si unajua wanaume wa JF wakitaka kumjua mdada fulani humu basi watafanya juu chini hadi lengo lao litimie
Huyo kuna namna aisee...Ebu jamani unajua ukisikia mwanaume anafanya hivi wala hushangai kabisa
Watunange kwani walituumba wao??Na ndio wapo hivyo waone hivi yupoje anafananaje ili watunange
Yaani hata sijui analipwa nini aisee! Mwanzo nilikuwaga tu nasikia kuna watu wanalipwa humu ili kupata picha na info za watu fulani nikawa nahisi utani sasa ndiyo nimeamini!Kudadeki zake analipwa nini mbona mswazi sana huyo dada
Teh Teh[emoji16]Umeongea kiumbea hadi nashindwa nisemeje
Sasa una nangana nae unamjua [emoji1787][emoji1787] yeye anakujuaWatunange kwani walituumba wao??
Wakwende[emoji23][emoji23][emoji23]
Mm mtu akininanga tunanangana.[emoji85][emoji2098]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani mimi nilitaka basi, nguvu ya damu tu dota!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama inakuja inakata..ebu ngoja taratibu kabisa nitamjua