Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo mtafutie engo yake kwanza..

Kama unaweza kumfuata mkazungumza itakuwa njia nzuri na ya kibusara lkni pia unaweza ukamwambia pia akalipuka moto.

Hebu mkaushie tu mblock kuruhusu maisha mengine yaendelee usiwe unaona chochote chake.

Haki haipendezi kabisa..
Yeah mwenyewe niliwaza kumtafuta ila nikaona nisije nikachochea moto zaidi! Maana mtu mwenyewe yule hajatulia akili zake anazijuaga mwenyewe!
 
Kibao kya ndesi kumbe ndivyo inavyofanyika
Yes tena anachofanya mfano wewe unapost picha zako nusu huku anazikariri! Halafu tuseme mimi nina picha zako full ambazo nyingine ulipost huku nusu halafu nikakupost Status akiona anaunganisha dots kuwa huyu ni Chakorii maana hii picha aliwahi ipost kule kwenye kuselfika so anaiiba anafanya yake!
 
Hii ni mbaya sana..hivi ni Kwanini asilipuliwe humu ndani ili hii tabia ikome??pengine labda kuna watu huko picha zao zines ambazo a na hawajijui..

Labda yaweza kusaidia akaacha huu upumbavu wake
Unamjua vizuri ingawa humjui ndiye yeye..ila unacheka nae sana jukwaani...be careful
Hii ni mbaya sana..hivi ni Kwanini asilipuliwe humu ndani ili hii tabia ikome??pengine labda kuna watu huko picha zao zines ambazo a na hawajijui..

Labda yaweza kusaidia akaacha huu upumbavu wake
 
Mie nilitamani nimuanzishie uzi! Ila nikaambiwa nimuache ndiyo anaweza akazileta jukwaani kabisa kwa hasira!

Ila tu niliambiwa nimfuate privately nimuambie kwanini anafanya hivyo na aache hiyo tabia maana tangu haya mambo yatokee sikutaka kumuambia chochote! Nilifuta tu namba zake ili aache kuona status zangu na wala hatuwasiliani tena tumebaki tunachekeana kinafiki tu humu JF japo mie unafiki siwezagi!
Kazingua sana.
 
Usijali mama mchungaji wangu nitakupeleka chimbo bei rahisi mno nywele ya laki 3 wengine wanauza laki 6 zipo kuanzia mpaka elf 50

Eenh anatafuta picha zangu anione shunie nafananaje jamani mtu mwenyewe na sura ya baba angu halafu mwanamke mwenzangu huyo apate picha yangu ili aisambaze vizuri

Njo pm niombe mwenyewe nakutumia jamani kwani picha nini hata kama nafanana na baba angu nakutumia tu
😀😀😀😀😀 Woooiiiiiiii!!!!!...anasoma kimya kimya

Enwei hilo chimbo la nywele naomba unikumbuke tafadhali
 
Back
Top Bottom