Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
Haha'Naona unataka kutupeleka kwenye obesity 😂😂 na huu ubonge nikale kiepe yai jamani
Chibongee bongo????
Haha'Naona unataka kutupeleka kwenye obesity 😂😂 na huu ubonge nikale kiepe yai jamani
Ninazo za miguuniSio vizuri hivyo
okay basi sawaYeye ndio kanifotoa au huamini kama ni mimi?
kwanini ikawa hivyo
Haha'Naona unataka kutupeleka kwenye obesity 😂😂 na huu ubonge nikale kiepe yai jamani
Nisipopata wa kunichuna sipati tena...
View attachment 1221333
hahaha nakuambia!!Naona Alexis upo kwenye Form yako 1 match goal and assist, kama unapiga vile kumbe bado unautaka tena mpira wako![]()
Umenipa kazi ya kuchungulia kila muda,, haya mateso yangu utayalipia
Dada samahani me ni wa kiume, hivi umeolewa.??Yaaani. Ndo maana mi sipendi sana kutumia hiyo. Ndo yale ya kukimbiwa ukikutana na watu.
Btw ilikua hii picha View attachment 1221400
Chibonge TZ 😂😂🏃Haha'
Chibongee bongo????
Hongera mamaKweli Saint anne anaelekea elekea jamaa ni mtu poa keshakuja kuniona, nimemkubali pia.
😂😂😂 ulikorogea kwenye chai niniDada samahani me ni wa kiume, hivi umeolewa.??
Hahhaa..!!Nashukuru sijafikaga huko.
Kuna watu kibao tu watu wanawapitaga au kuwazimia simu. Maana kwenye picha na live ni usingizi na kifo. Editing zikizidi inakua sio
Yaaani. Ndo maana mi sipendi sana kutumia hiyo. Ndo yale ya kukimbiwa ukikutana na watu.
Btw ilikua hii picha View attachment 1221400





Halafu kuna watu wanasena JF hakuna Visu vikali... Na Walaaniwe..
Hii itakuwa mbichi nilipuliza..!!😂😂😂 ulikorogea kwenye chai nini
hahahaha Saint anne sijui walimfanya nini 823kj uko. Ndomana hataki kabisa kunisikia.
Sitarudia tena student; nisije nikajipeperushia njiwa wengi.










Naiombea hiyo kichwa yako