Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna chibonge wangu alienda huko..kurudi khanga ilikua na rangi ya udongo huo.
Na huku tulianza kuzitumia muda sawa,khanga sare.

Mimi nilikua 823jkt Kama unaijua[emoji3526]
Kumbe umepiga kozi?? Hiyo 823kj ndiyo ipi hebu nitajie mie nilikuwa 832kj!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi kinyakyusa nakijua dogo kindali ndiyo sikijui
Hata kinyakyusa hujui.
Kwa haraka haraka nimeona hujui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe umepiga kozi?? Hiyo 823kj ndiyo ipi hebu nitajie mie nilikuwa 832kj!!
Wewe unanionaje!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mwili haukujengwa kwa tofali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ubonge hauji hivi hivi...tumefanya mazoezi ya kutosha pale msange jkt
 
Back
Top Bottom