Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
Haha.!!Hahaha muzigo unaongeza confidence
Kama una mzigo hata ukitaka kutambulishwa unaambiwa kwanza usimame!!
Haha.!!Hahaha muzigo unaongeza confidence
Wapi hiyo mzee baba??
Hembu kuwa serious...
Kama bado watu waje
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hivi aliyekuwa kavaa kitu cheupe au cheusi sijui alikuwa na hali gani Jana
Basi weka picha eti...
Kabisa naye yuko vizuriNo wonder anajuaga kusimamia show zake mwanzo mwisho.
Asikujaze huyo ni msomali we shangilia tuUghonile nkamu
Duh
Walamusha sebho
hahaha aiseee!! hauna kumbu kumbu ya vipicha vipicha vyovyote tokea msange tabora.






Hizi sare zenu zinavutiaga sana na kwa wafanya fujo kama sie aaaaahh burudaniMimi pia nipo nadhurura dhurura mitaani tu,
Huku kwao SHIBOB.
Asikujaze huyo ni msomali we shangilia tu
Mwenyekiti taarifa rasmi itakufikia
Ruvu bado Ni kambi ya watu mayai mayai.Weee nani kasema?? Hayo maneno tu hata mimi nilikuwa nayasikia kabla sijaenda ila nilivyoenda nilichokikuta kule mbona nililaani walikuwa wanasema oohh ile kambi ya wagonjwa kwahiyo ni mwendo wa bata tu sasa kwa taarifa yako hao wagonjwa walikuwa wanatengwa ndiyo wanapewa kazi rahisi wengine wote doso kama kawa kama dawa!!






hahahaha Saint anne sijui walimfanya nini 823kj uko. Ndomana hataki kabisa kunisikia.
Haha .!;Dada chibonge naona unajiandaa kula tizi 🔥🔥🔥
Ukimaliza nipatie hiyo kamba me na Saint anne pia tupungze mafuta 😂
Unishtue Dada
Unazidi kunitishaMimi pia nipo nadhurura dhurura mitaani tu,
Huku kwao SHIBOB.

Haha!!Woyooo
Chi chi chibongee
Haha.!!
Kama una mzigo hata ukitaka kutambulishwa unaambiwa kwanza usimame!!