Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ruvu bado Ni kambi ya watu mayai mayai.
Kuna mmoja alienda huko ...lilirudi lipo vilevile... Basi akianza kutusumbua Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo atakuwa alikuwa mgonjwa wa kudumu
 
Yaaani. Ndo maana mi sipendi sana kutumia hiyo. Ndo yale ya kukimbiwa ukikutana na watu.
Btw ilikua hii picha
Snapchat zinamtoa mtu na sura ya kitoto sana. Ukijua kuweka pozi[emoji28][emoji28][emoji28]
20191002_101041.jpeg
 
Back
Top Bottom