Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246




JamaniHaha!!
Halafu wewe na Depal bado mnajitia vichibo, bakini huko huko!!




JamaniHaha!!
Halafu wewe na Depal bado mnajitia vichibo, bakini huko huko!!
Jamani huwezi amini ile picha sikuona au hadi nilie 😭😭 ndio utaaminiNinazo za miguuni
Na wewe kama sio uchokozii ile picha yangu na lile cheko si ungezionaa
huyo atakuwa alikuwa mgonjwa wa kudumu






Ngoa jino moja we nyau
Ukatafuna na mizizi 😂Hii itakuwa mbichi nilipuliza..!!
Kweli ananitishaYaani me najitahidi kukutetea we ndio unazidi kumtisha mrembo Annie
Inabidi uwache kabisa

Haha sasa hapo nitakuwa na pengo na sio mwanyaNgoa jino moja we nyau
Hizo ndio sizitaki kabisaItabidi nianze kutupia za kidiamond sasa.
Usipeperuke kiasi icho



hahahaha!! mama ake.Babake umeanza lini uongo
WoyoooYaaani. Ndo maana mi sipendi sana kutumia hiyo. Ndo yale ya kukimbiwa ukikutana na watu.
Btw ilikua hii picha View attachment 1221400










Wewe kulia najua huweziiiJamani huwezi amini ile picha sikuona au hadi niliendio utaamini
hahaha aiseee!!!Hizo ndio sizitaki kabisa
Nataka zile za masuruali mapana na vitambaa
Niko huku muda huuView attachment 1221356
Nitasubiri 😢Wewe kulia najua huweziii
Kuna siku utauona tuu
Naomba kuona shingo yakohahahaha!! mama ake.
nimecheka peke angu.
baba ake!! ujue yupo anafurahisha genge tu hapa.
Nimeshaskia kuringa!!
Ngoja niwaaminishe wewe na Saint anne vile nilivyo chibonge wa ukweli.!!
View attachment 1221354
this morning..!!
Sawa dadaNitasubiri![]()