Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahahahahaOkoa jahazi hapa![]()
HahahahahahaOkoa jahazi hapa![]()
Kushoto kwenye kioo kuna mdau anapiga picha kwa flashlight wakati ni mchana. Nje na hapo Vingine havinihusuTumieni jicho la tatuView attachment 1221286
haya, limekuchekesha wapi...?Daaa hili swali hili!!!! Limenichekesha sana
haya, limekuchekesha wapi...?
kwani mtu anazeeke baadhi ya viungo?Unataka nikutajie exactly kiungo kilichozeeka?? Au ulimaanishaje?
Afu nilikusahau, nioneshe dear 😍Mimi ninazo
Haha' hivi kumbe tuna hadi vifaa vya kiume humu..
😘😘😘 ubonge mzitoSina hata za kusingizia Chibonge mwenzanguubonge unatosha
Naona Huu Uzi unaenda Kasi sana..View attachment 1221323
MusuliNimerud tenaView attachment 1221275
Limkaka lihandsome hilooo 😋😋Haha' hivi kumbe tuna hadi vifaa vya kiume humu..
Eti kaka, umeshawahiwa??
Hii sio yakoTumieni jicho la tatuView attachment 1221286
Haha' camera zinaongopa khatari, Mtu akikutana na wewe live anaweza kukupita asikutambue walaqhi'..!!Hahahaaa.. napendaga kuwaambia rafiki zangu wa kiume hivyo kuwa wasipende sana kushoboka na wanawake wanaowaona kwenye picha.
Huu mguu ni kiboooko
Nimejikuta naangalia fito zangu.
.
Nimezoea sisi wenye vimiguu kama fito huwaga ndio tuna vidomo domo kumbe hadi wenye miguu ya kuombea mkopo.