Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,379
- 88,735
Usitume tena za magwanda naweza nikajikuta nafall in love bure
Mimi pia nipo nadhurura dhurura mitaani tu,
Huku kwao SHIBOB.
Mimi pia nipo nadhurura dhurura mitaani tu,
Huku kwao SHIBOB.
Naona Alexis upo kwenye Form yako 1 match goal and assist, kama unapiga vile kumbe bado unautaka tena mpira wako![]()
hahaha nakuambia!!
Unazo?hahaha aiseee!!!
Hahahaha!!
Kule nimeoga matusi ya kutosha
Iko wapi mbona sijaona?
Nini hiki?
Pajaaa ilooo![]()
Naona na medali shingoni![]()
hahaha nakuambia!!


Dada samahani me ni wa kiume, hivi umeolewa.??
Hahhaa..!!
Mbingu na ardhi..!!
Yaaani. Ndo maana mi sipendi sana kutumia hiyo. Ndo yale ya kukimbiwa ukikutana na watu.
Btw ilikua hii picha View attachment 1221400
Hahhahaha!!.Hahahahaaa. Dada na muonekane ule unakuaje wa kiume?. Niko single but not single single
hahaha mama ake;Naomba kuona shingo yako
Tunafanana kumbeUsitume tena za magwanda naweza nikajikuta nafall in love bure
Kwanini?![]()