Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,867
Wapo etii.. ila snapchat ikikugomea we basi tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ni sawa na make up idunde
Hivi kuna mtu Snapchat inamkataa?! Dada achana na ile kitu [emoji23][emoji23][emoji23]