Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwani mjep ana mke tofauti na wewe? 😹

Mi nakujua wewe na bi mdogo yule aliyenunuliwa vyombo Mlimani city..

Kama kaongeza mwingine atuhabarishe shemeji..!! 😹😹
Udugu mke mwenza ameacha ndalaa, ila JF bhana.
😂😂😂😂
 
😹😹😹

Uzi haufutwi wewe kaguswa demu wako kidogo umeanza milio.. tulia dawa iwaingie..!!

Kwanza hizo pic ziko wapi na mi mnitumie nione kama uzi unahitaji kufutwa? 😹😹
Demu wangu yupi tena huyo, kumbe nna mwanamke na sijui 😂
 
Tayana hawezi kukusaliti, ninakuhakikishia kwa 100%
 
Ukiona bado upo kwenye hatua ya kupiga picha hela kisha kushirikisha picha hio kwenye mitandao ya kijamii nadhani safari ya mafanikio ya kifedha ina hatua chache sana.
Mtazamo wangu tu lakini.
Floyd Mayweather, offset, card b hawa ni matajri ambao Huwa wanapost sana pesa mtandaoni, au hiko ulichosema kina apply bongo tu?

Huyu ni Kelvin Durant, yeye kapost tena kea kutengeneza kama umbo. So kelvin Durant nae mafanikio yapo mbali?


Mtu apost kile anajiskia ili mradi havungi sheria

MFALME WETU ukiwa na dollars au za madafu we post tu hakunaga ubaya wowote
 
Sioni tatizo, hiyo ni mindset zetu wabongo..!!

Kwahiyo kina Rick Ross nao wanavyopost pesa wana hatua chache za mafanikio? 😹😹

Huu uzi labda nikukumbushe ni wa picha, so kila mtu anapost anavyojisikia..!!

Haya weka mzigo huo tuone
Hakuna ubaya wowote mtu kupost kile alichonacho, hata matajiri wakubwa wapo wengi sana wanafanya hvyo.
 
Dada angu Seran tatizo nn tena. Stay calm msigombane bana please🙏
 
Unachoka wakati unasemaga hivi ndio vitu unapendaga. Acha unafki coca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…