100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,564
- 37,879
mbagaAstakafirilah mtumishi wa Mungu 😂
Nakuambiaje kwa kukufurusha kule, wee huwezi ku heal kamwee. Utakua unatulia, ukikumbuka unawehukwa tena.You can imagine huyu ni cocastic mwaka 2018 hapo...
Ni kijamaa flani age imeenda ila uongo, umbea, ushoga na mambo ya kiwaki ndio mambo yake...
Bro tubu na mrudie Mungu wako...
![]()
Em sema kweli? Fanya niamini basi.Nipo, Nakuwaza tu Hapa.
cocastic uzi huu naona unaakisi maneno ya huyu mchungaji kuanzia dakika ya 16-25 kuhusu mtoto wa kiume
View: https://www.youtube.com/watch?v=e-d4UO9aBTw
😂😂😂 wewe tena? Haya bhana.Unachoka wakati unasemaga hivi ndio vitu unapendaga. Acha unafki coca
Unasemaaa au unatania😁Min nikupe ukweli mchungu.
Wewe ni simp na unajijua..!!
Na tabia za masimp ni kujipa self defence kwa kusengenya wanawake pindi akikataliwa..!!
Zile nyuzi unazofungua ni kutaka kujifariji tu.
Nasikitika nilikushauri uache kubembeleza wanawake wanajiona special lakini nikasahau kukushauri pia usiwasengenye..!!
Sasa nikipata muda nitakupa mbinu mpya ambayo wewe utakua na amani na utaona wanawake ni kama viumbe wengine..!!
Halafu wewe mchaga wa wapi unakua mjinga mjinga..!!
Kheeeh uko Arusha kwa Shem darling??No
Namaanisha sitakuwa active km zamani , ni kupumzika tu ....nothing more...ila tupo pamoja..
Nitakua napita mara moja moja km hivi najibu quote muhim ....
Ukishakuq mama mamjo mengi si unajua tena, i need to get rest mkuu.....
🤝😃
Na arusha ss huku niko mgeni mpk nizoee
Vizuri sana maisha ni kusaidianaSijawahi kufeli na hiki nilichokisema mtu yeyote mwenye akili ya kusoma maandishi ya mtu atakuwa pamoja na mimi..!!
Zamani uliteseka na mimi ndo nilikutibu hiyo tabia na sasa hivi nataka nikusaidie tena..!!
Sasa unanipa mimi pole ya nini..?Nakuambiaje kwa kukufurusha kule, wee huwezi ku heal kamwee. Utakua unatulia, ukikumbuka unawehukwa tena.
😂😂😂😂. Poleee
nimekumis zaidiiiii ndo maana nimeanza na wew kwanza🤗,, uko poa? uje kulea basiNimekumiss balaaaaa uzi unapoa bila ww ila unatrend bado🤣😍
Nishakuwa aunty 🥰🤣🤣kwahii hali lazima nikubali uzeee tunimekumis zaidiiiii ndo maana nimeanza na wew kwanza🤗,, uko poa? uje kulea basi
Huja heal bado tuu mwanetu? Mbona kitambo sana kile, nilisha kusahau kabisa, wee ndio unajileta leta.Sasa unanipa mimi pole ya nini..?
Jipe pole wewe ambae ni marindaless...