---
JF-Expert Member
- Aug 19, 2026
- 575
- 1,602
Umeshindwa kula ugali huo, kula boga nililokunya utawezaje sasa 🤣Pole, haya kunya boga kuonyesha umekasirika sana..!! 😹
Umeshindwa kula ugali huo, kula boga nililokunya utawezaje sasa 🤣Pole, haya kunya boga kuonyesha umekasirika sana..!! 😹
Huwezi aminiiWee bhana wog usisahau kunipa id yako mpya kabla hujaitelekeza hii..!! 😹😹😹
Hujakazwa leo? Au umeachika mwenetu? 😹😹Umeshindwa kula ugali huo, kula boga nililokunya utawezaje sasa 🤣
Tumekubaliana nipumzikeUnaenda wapi tena ma mchunga? Baki na sisi!! 😢😢
Wog Wog WogHuwezi aminii
Sina ht huo mpango kabisa
Km kuwa nayo ningeshakuwa nayo muda tu
Ila wala sio issue
Nani tena kakuambia upumzike? Shemeji au?Tumekubaliana nipumzike
Hakuna cha mno
Ungeonja kidogo lakini halina tofauti sana na huo ugali. Jaribu hata tonge moja tu kwanza🙂Ugali siwezi na boga utakalokunya utakula mwenyewe..!! 😹
Mpelekee bwanako mkalishane mi situmii, si umeona hata ugali sijagusa..!! 😹Ungeonja kidogo lakini halina tofauti sana na huo ugali. Jaribu hata tonge moja tu kwanza🙂
Mkuu hii ni breakfast au full package
Hii ni mpaka kesho tenaMkuu hii ni breakfast au full package
Hey chica 😊Steve Rogers umepita hii mitaa?
Chakula kinavutia, ni maboga na nini hiki pembeni? Mbona unakula usiku sana? Usiwe unakula chakula masaa mabaya hayo!
Unajipenda sana we kijana😁View attachment 3677308
Alkasus pembeni
Huna baya tajiri una mpaka muda wa kwenda Gym 🙌🏽Muda wa tiz acheni kulaliana mtapata yutiayi 😹😹😹
MFALME WETU
😹😹😹 Mi nisipofanya mazoezi nachoka..!!Huna baya tajiri una mpaka muda wa kwenda Gym 🙌🏽
Mimi sikupata kabisa usingizi kwa sababu ya mawazo ya kujikwamua na umasikini 🤣