Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Si kweli kwamba walioshea ndo wanaogombana tu humu kuna ambao hawajashea na wanagombana vile vile hapo shida ninini?????

Hapo kwenye kumtunuku mtu mi mwenyewe nkimuelewa mtu wako akaingia 18 zangu nampea vizuri tu ye mwenyewe ni mtu mzima anajua anachofanya☺☺☺☺
Hao sijawaona unaweza ukawataja tuwachambue..!! 😹😹

Nyie mtunikiane lakini msiyalete sasa huku..!!

Sisi wengine kazi yetu kuchachua, hivyo tunaruka na habari mnazoleta..!! 😹
 
Namimi unitumie moja niwaringishie watesi wangu kule status huku watajua nimeiba yako😎
IMG_0904.jpeg

Iyo apo mkuu 😁
 
😂😂😂😂 kuna nini kwani humu ndani?
Bana kama kawaida roho chafu zinaumia watu kupost pesa zao na ndinga humu..!! 😹😹

Wanataka wote wapauke kama yeye..!!

Famchezo wewe kila unachopost kinachekesha lazima upagawe..!!

Na wewe uwe unasifia ukiomba pic, 😹😹
Watu wanajitutumua kukupa selfie afu unachuna. Ndo kumaanisha nini sasa??

Kwamba pisi mbovu au? 😹😹😹
 
Bro mambo ya mitandaoni yasikusumbue akili kabisa wala kukutoa kwenye reli, ukiona yanaanza kukuzuzua log out.

Mimi naishi maisha yangu najitegemea kuanzia kuvaa kula na kulala tangu niko 17 years till date nmeishi maisha yote mpaka ambayo huyajui simwogopi mtu yeyote zaidi ya serikali kwaiyo napost nachojisikia popote as long as it’s legal bila kufikiria mtu mwingine yeyote atanichukuliaje maana hana cha kunifanya na haniongezei wala kunipunguzia chochote kwenye maisha yangu.

Nyie ndo wale mkiona mtu anapush agenda yake mtandaoni mnafuata mkumbo mfano ndoa ni ubatili au usioe single maza au oa bikra tu and the likes, bro washa akili and stay on your lane

Nmeamua kuandika ili next time nikipost muache kujiuliza maswali yasio na kichwa wala miguu mnione tu kama limbukeni flani ivi wa maisha asie na ramani yeyote maana pesa zenyewe sina izo picha ndo zinanifariji sasa wewe unaumia nini au unafikiri ntakuibia makoloni yako 😂😂💔

kwani kuna tofauti gani mtu akipost picha ya hela na picha ya kuku mtu mwenyewe humjui unaeza kuta ni kapuku wa kutupwa, na hata akipost we zinakuumiza nini? Mbona picha zingine zinazopostiwa humu huulizi kwann zinapostiwa kumamake.!!

always stay positive minded uone maisha yanavokua rahisi both mtandaoni na kwenye real life. Hata siku moja usiruhusu maisha ya mtandaoni yakuchanganye.
😹😹😹 Uzi wa picha huu hata mbwa akikatiza mbele yako wewe mpost tu..!!

Mwenye wivu akanye boga
 
nani asiekujua wewe tajiri wa wakinga 😂😂

Nje ya mada, humu JF kuna vituko sana ukiwa mgeni utatamani ufute ID upotee 😂😂🏃🏽‍
Mi msukuma sinunajua tulivyo washamba weusi tii!😎

Hahaha mimi sikujua kwakweli, kidogo niache ndala 😁ila nimeanza kuvizoea
 
mambo ya wanawake huwa siingilii na hayanihusu. Kitu kimoja nikuweke wazi sina time na wanawake wa mtandaoni.!! Kama kuna mwanamke nimewahi kumtongoza humu jukwaani au huko pm ajitokeze na ushahidi na akaunti number nimtumie 2000$ hapahapa watu wote wakishuhudia

Mi napenda sana utani huku mtandaoni maana ndo sehemu pekee naeza kujiachia kwa uhuru pamoja na kuwa najuana na watu kibao humu niliokwisha fanya nao biashara. Mambo mengine nje ya utani sijui na sina uhakika kama naitaji kuyajua.
Tajiriii achana na vinuka mkojo changamoto zimewajaa hawajui washike lipi waache lipi..!!

Em tupia maburungutu wapasuke vizurii 😹😹😹

Ayiiiiiiii jamani hukuuu..!!
 
Bana kama kawaida roho chafu zinaumia watu kupost pesa zao na ndinga humu..!! 😹😹

Wanataka wote wapauke kama yeye..!!

Famchezo wewe kila unachopost kinachekesha lazima upagawe..!!

Na wewe uwe unasifia ukiomba pic, 😹😹
Watu wanajitutumua kukupa selfie afu unachuna. Ndo kumaanisha nini sasa??

Kwamba pisi mbovu au? 😹😹😹
Nyie sasa hivi ingieni ulingoni piganeni msindi apatikane tu.
Maana hali ni mbaaaayaaa! 😂😂
 
Mi msukuma sinunajua tulivyo washamba weusi tii!😎

Hahaha mimi sikujua kwakweli, ila nimeanza kuvizoea
Kuna washkaji wengi sana humu siwaoni kabisa kumbe sababu ni iziizi za kikuma akina mwalimu Antonnia To yeye Kalpana na wengine kibao, Tayana nae ndo ivo kaaga aisee.

Watu roho zao za husda na usengenyaji wanahamishia mpaka mtandaoni. Pathetic.!!
 
Ukiwa na maisha magumu unakuwa kama mchawi. Unaona kila mtu anakuzidi na ili kutafuta faraja unashikwa na wivu wa kijinga na kuanza kuchafua watu.

Haya mtu ana mahela yake anaamua kuyaposti humu. Kwa nini wewe ikuume wakati huyo mtu wala humfahamu? Kuposti kwake hela wewe inakuhusu nini?

Na nyie mabinti kuweni waangalifu humu. Siyo kila mtu wa kumwamini wala kukutana naye. Unapanda Audi ya boya, unapita Morena Hotel kuona alikofikia, anaibia anakupiga picha huyoo tayari anakuja kutangaza humu kuwa alikukula tena mande. People are sick and please be careful hata kama ni tamaa ya pesa basi kuweni na kiasi. Unatumia mvulana wa JF picha zako za uchi. Unategemea nini? 😡😡😡😡
Igweeeeeeeeeeee

Hizo 🫡
Hizo 🫡
Hizo 🫡

Mi napenda watu wanavyopost pesa wananimotivate niendelee kukomaa..!!

Kwanza mwenye akili alitakiwa aombe michongo sio kuleta shombo hapa..!!

Sema bichwa halina akili hawezi kuelewa hii..!!

Matajiri tupieni madollar uzi uchafuke na pesa tupu sio minyuchi michafu chafu 😹😹😹
 
View attachment 3678127
Nmeacha kupost hela sasa maana zimeisha na ndicho mlikua mnataka

Lamomy karibu maskani kwetu huku mabonde kuinama
Ewaaaahhh namna hiyo..!!

Nyumba safi decoration ya kimataifa..

Tajiri umeshindikana, pesa unazo na mansion unalo..!! 🔥🔥🔥

Nipe mchongo na mimi nipate mjengo kama huo..!!
 
Ukiwa na maisha magumu unakuwa kama mchawi. Unaona kila mtu anakuzidi na ili kutafuta faraja unashikwa na wivu wa kijinga na kuanza kuchafua watu.

Haya mtu ana mahela yake anaamua kuyaposti humu. Kwa nini wewe ikuume wakati huyo mtu wala humfahamu? Kuposti kwake hela wewe inakuhusu nini?

Na nyie mabinti kuweni waangalifu humu. Siyo kila mtu wa kumwamini wala kukutana naye. Unapanda Audi ya boya, unapita Morena Hotel kuona alikofikia, anaibia anakupiga picha huyoo tayari anakuja kutangaza humu kuwa alikukula tena mande. People are sick and please be careful hata kama ni tamaa ya pesa basi kuweni na kiasi. Unatumia mvulana wa JF picha zako za uchi. Unategemea nini? 😡😡😡😡
Ni babu miga na Mzab Zab walimla mande hapo Morena sijui ni binti gani yule, nimesahau ID, 😂😂😂

Kumbe wee humu uko kitamboo? Au ni Wige wewe? Lol
 
Ewaaaahhh namna hiyo..!!

Nyumba safi decoration ya kimataifa..

Tajiri umeshindikana, pesa unazo na mansion unalo..!! 🔥🔥🔥

Nipe mchongo na mimi nipate mjengo kama huo..!!
Nyumba za mapedeshee izi apa nipo kwa shemeji hela ya ujenzi natoa wapi mimi tajiri yangu 😂😂
 
Back
Top Bottom