Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huu uzi ushapitia misukosuko mingi sana ya kufungiwa kwa muda kisha kufunguliwa lakini bado tunadunda na tutaendelea sana tu 👊🏽
c3dd217f-d5bc-4d9c-bd2d-23fa6345593a.jpeg
 
Selfika inafanya watu wawe na shauku ya kuonana kupitia hizi picha za kuibia ibia.

Wanapoamua kuzifanyia kazi hizo shauku ni juu yao. Mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuona hatari zilizopo.

Wanapoamua kuuziana via vya uzazi ni juu yao vile vile.

Moderators watashughulikia lugha mbaya tu. Mimi labda ningeshauri waifanye selfika iwe "members only thread".
😂😂😂
 
Uduguu, umeamua nawee uweke kibumbu hapa jamvini. Hujataka kuweka piemuni iwe deal, unamwaga hapa hapa hutaki masjala wala nini?
😂😂😂😂
😹😹😹 Wasije kusema oohh alinitumia pm..!!

Nimewawekea mwenyewe wajioneee..!! 😹
 
Back
Top Bottom