MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,407
- 13,394
Na huu umasikini wangu nisipokula bata si nitawahi kufa kwa stress. We badae njo unichukue apa oysterbay na iyo Benz yako bhana nitoe ushamba au ndo hupakii makapuku?🤣😹😹😹 Mi nisipofanya mazoezi nachoka..!!
Wewe tajiri unayeshinda Amell unakula bata unataka pesa gani tena??
Sisi mawinga ndo kuwaza tunajikwamua vipi?
Nwei, tayana umeonana naye kwanza? 😹
Amekuja jana kuaga, we ndo umemkataza? 😹😹
Tayana nilimpiga stop kuingia humu tena country asijemuuza kwa mafogo 🏃🏽