MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,391
- 13,355
Aweeh sina utajiri wowote, we kama uneamua kunikataa kiaina sawa. ngoja nipunguze tu matumizi apa bill isijesoma parefu 😂Mi mabovu..
Nyie ndo mafogo wetu hapa JF 😹😹
Aweeh sina utajiri wowote, we kama uneamua kunikataa kiaina sawa. ngoja nipunguze tu matumizi apa bill isijesoma parefu 😂Mi mabovu..
Nyie ndo mafogo wetu hapa JF 😹😹
Sio kule ni kwa comments, mie ananiita Tapeli 😂😂😂Muadd kwenye convo zetu tuwe watatu nimsikilize ana changamoto gani? 😹
Ulituwekea vibunda vile aiseee sio poa 😹😹Aweeh sina utajiri wowote, we kama uneamua kunikataa kiaina sawa. ngoja nipunguze tu matumizi apa bill isijesoma parefu 😂
Ushakuwa tapeli? 😹😹😹Sio kule ni kwa comments, mie ananiita Tapeli 😂😂😂
Ila G jamani.
Acha zako bhana. Wewe ndo wale “sina pesa kajenga ghorofa” 😂Ulituwekea vibunda vile aiseee sio poa 😹😹
Wenzio tunaenda kula kwa mama muuza wali wa buku jero, mwenetu uko Amell unapigwa kiyoyozi na lunch ya laki na nusu..!!
Location hazisomi tupo kuuza vijora 😹😹View attachment 3676892
Ivi vibunda vya urithi nilvotoka navyo jana Zenji nataka viishie Dar. Nitumieni location Lamomy Seran Chica Gee Missy Gf binti kiziwi
😹😹😹 Tatizo lenu ndo hilo..Acha zako bhana. Wewe ndo wale “sina pesa kajenga ghorofa” 😂
Asante Mkuu, hivyo vibunda watakuja wenzangu kuvichukuaView attachment 3676892
Ivi vibunda vya urithi nilvotoka navyo jana Zenji nataka viishie Dar. Nitumieni location Lamomy Seran Chica Gee Missy Gf binti kiziwi
Kaka unazingua..Ba tamu anaendesha tank la mafuta, hivi hapa yuko huko 🇿🇲,
Ananifundishaga, nataka nijue na mie nasepea huko nje, mie ntataka cargo. Mafuta naogopa kulipuka wee.
😂😂
View attachment 3676892
Ivi vibunda vya urithi nilvotoka navyo jana Zenji nataka viishie Dar. Nitumieni location Lamomy Seran Chica Gee Missy Gf binti kiziwi
Mr Universe 😅
Jama Ile Mercedes ndio ilinivurugaUmevurugwa na kipi sasa? 😹
Evening madam, wala usihofu hapo lazima ufanikiwe huyo kwa wewe hawezi kukutosa🔥Una kitu ngoja nikushikilie vizuri ili uniweke kitaalamu kwa mate wangu. 😊
Good morning country, Ukimuona Lamomy popote msalimie.
Christine_1 hongereni sana asee, uchumi huu nyie vijana kumiliki pesa zote hizi si masiharaView attachment 3676892
Ivi vibunda vya urithi nilvotoka navyo jana Zenji nataka viishie Dar. Nitumieni location Lamomy Seran Chica Gee Missy Gf binti kiziwi
Pole sana!Jama Ile Mercedes ndio ilinivuruga
Ila leo nimeamka nna stress tajiri yangu, hapa kichwa cha moto sana
Hii ndo pesa chafu sasa😁