Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Msiwe na roho za wivu hata nyie ruksa kupost mikokoteni na punda 😹😹

Unataka kushindana mwenzetu unalala wapi?

Unataka kushindana mwilini una rangi mbili 😹😹😹

Unataka kushindana na shepu lako la mchongo..!! 😹😹

Unataka kushindana mwenzetu single maza wa watoto watatu na kila mtoto na babaake..!! 😹😹

Ila hii taarabu inachekesha sana..!! 😹

Hivi hua wanawaona machizi wa JF walivyo au mi ndo sielewiii…!! 😹
Itabidi tuanzishe kampeni ya women supporting women humu badala ya kukandiana nakupigana vijembe kuchochea ugomvi iwe kinyume chake unaonaje ????

Wanawake kwa wanawake kudhalilishana Haipendezi mrembo!
 
Mi nawasapoti shida wanawake wengine wana roho za wivu, chuki na roho mbaya..!!

Sasa mtu kupost gari nayo ni habari kweli miaka hii??

Au mtu kupost pesa zake mwingine unaumia nini??

Mbona wewe unapost pic zako na shape linaonekana tunakupa maua yako.

Ukiona mtu ana kamdomo ka chuchunge afu mjuaji na ana wivu wa kiseee na yeye lazima tumpashe apashike..!!

Makelele kibao kusema wenzie wakati yeye anajisell pm huko tunamchora na taarifa zake tunazo..!!

Nwei, nna shida niongezee mtaji uduguu.
Support ianze sasa hivi..!! 😍
 
Aah ila nakumbuka sana ule ukucha wako ule kuna muda natamani kumueleza boss akufanye wife material hapa
Upi tena?

Huyo boss wako ana pesa mi sitaki mwanaume namuomba pesa ya kuongezea mtaji wangu wa vijora halafu yeye anajizungusha..!! 😹😹😹
 
Upi tena?

Huyo boss wako ana pesa mi sitaki mwanaume namuomba pesa ya kuongezea mtaji wangu wa vijora halafu yeye anajizungusha..!! 😹😹😹
Yaaah ipo maana najua akitucheleweshea mshahara basi malalamiko yangu nayaeleta kwako tu
 
Ukiona bado upo kwenye hatua ya kupiga picha hela kisha kushirikisha picha hio kwenye mitandao ya kijamii nadhani safari ya mafanikio ya kifedha ina hatua chache sana.
Mtazamo wangu tu lakini.
Sioni tatizo, hiyo ni mindset zetu wabongo..!!

Kwahiyo kina Rick Ross nao wanavyopost pesa wana hatua chache za mafanikio? 😹😹

Huu uzi labda nikukumbushe ni wa picha, so kila mtu anapost anavyojisikia..!!

Haya weka mzigo huo tuone
 
Mi maskini ombaomba tu mrembo pesa natoa wapi!!

Anyways !Vipi wazo langu la women supporting women hapo juu unasemaje????
Unazo 😹

Women supporting ipo vizuri tuanze na mimi kwanza mnichangie mtaji wa vijora..!! 😹

Mimi nakubali shida ipo kwa wake wenza wa humu wataweza kupendana? Hapo ndo swali lilipo..!! 😹
 
Unazo 😹

Women supporting ipo vizuri tuanze na mimi kwanza mnichangie mtaji wa vijora..!! 😹

Mimi nakubali shida ipo kwa wake wenza wa humu wataweza kupendana? Hapo ndo swali lilipo..!! 😹
Achana nahio Ianze sapoti ya kukemea ugomvi na uchochezi kwanza .

Hata hao walioshea bilashaka kuna wanaowachochea nakuwajaza sumu.
Inashangaza sana kuona ke akishadadia ke mwenzie kudhalilishwa inashangaza sana

Hivi Ushawahi Shea bwana humu??
 
Mahondaw huwa nasikia tu sifa zako kuwa una shepu ya kufa mtu. Halafu nafika nakuta patupu japo huko juu uliweka. Unaweza kuirudia uliyoiweka huko juu? Just once mamake? 🙏🏿
 
Back
Top Bottom