😂😂😂😹😹😹 Wasije kusema oohh alinitumia pm..!!
Nimewawekea mwenyewe wajioneee..!! 😹
Udugu mke mwenza ameacha ndalaa, ila JF bhana.Kwani mjep ana mke tofauti na wewe? 😹
Mi nakujua wewe na bi mdogo yule aliyenunuliwa vyombo Mlimani city..
Kama kaongeza mwingine atuhabarishe shemeji..!! 😹😹
Una shingapi? 😹Anayeweza kunisaidia aniambie hizi picha zinazosèmwa humu ni zipi za nani zinahusiana na nini??
Unajua kabisa upande wake hela sina kabisaaaaa!!!! mi omba omba tu.Una shingapi? 😹
Nipo, Nakuwaza tu Hapa.Nipo mie hansamu boi, vipi wewe?
Demu wangu yupi tena huyo, kumbe nna mwanamke na sijui 😂😹😹😹
Uzi haufutwi wewe kaguswa demu wako kidogo umeanza milio.. tulia dawa iwaingie..!!
Kwanza hizo pic ziko wapi na mi mnitumie nione kama uzi unahitaji kufutwa? 😹😹
Please usiondoke Tayana, dado tunakuhitaji sana humu🙏Duh
Umepambana mpk nimekuja 😃😃
Notification nyingi sijui nij8bu ipi niache ipi...
Anyway
Nimekuja kuwaaga hata hivyo....
Kuondoka kimyakimya sio poa
Nawapenda sana
Ngoja tuangalie maisha mengine ss
Tayana hawezi kukusaliti, ninakuhakikishia kwa 100%Na huu umasikini wangu nisipokula bata si nitawahi kufa kwa stress. We badae njo unichukue apa oysterbay na iyo Benz yako bhana nitoe ushamba au ndo hupakii makapuku?🤣
Tayana nilimpiga stop kuingia humu tena country asijemuuza kwa mafogo 🏃🏽
Christine_1 hongereni sana, hivi ndio inavyotakiwa vijana kupambana na kupata pesa.
Floyd Mayweather, offset, card b hawa ni matajri ambao Huwa wanapost sana pesa mtandaoni, au hiko ulichosema kina apply bongo tu?Ukiona bado upo kwenye hatua ya kupiga picha hela kisha kushirikisha picha hio kwenye mitandao ya kijamii nadhani safari ya mafanikio ya kifedha ina hatua chache sana.
Mtazamo wangu tu lakini.
Hakuna ubaya wowote mtu kupost kile alichonacho, hata matajiri wakubwa wapo wengi sana wanafanya hvyo.Sioni tatizo, hiyo ni mindset zetu wabongo..!!
Kwahiyo kina Rick Ross nao wanavyopost pesa wana hatua chache za mafanikio? 😹😹
Huu uzi labda nikukumbushe ni wa picha, so kila mtu anapost anavyojisikia..!!
Haya weka mzigo huo tuone
Dada angu Seran tatizo nn tena. Stay calm msigombane bana please🙏Humu ndani mpunguze kujihisi, acheni watu wachati kwa uhuru, sijawahi kusikia mtu umemzidi anakuwazisha hivi, saa nyingine watu tunajiandikia tu wala hatulengi mtu lakini unashangaa mtu anakuja kama anataka kukupiga! Wengine vita vya kuandika tunachoka, mtafute mtu personally ubabe wako uonekane, vita mpaka upate support.. nilipata malalamiko ya maneno ya kishenzi kweli, ukiomba uthibitisho hupewi! tuchague kuignore upumbavu mwingi mwingi uso na faida, kuna watu humu hata huwafuatilii ila akili zao wanajihisi unawasoma na kuwafuatilia! machokoraa kibao humu halafu mnahisi kuonewa wivu! Mtu akiandika kitu mnajihisi kama matahira! Anayewajali ana kazi kwakweli! Nilipokuwa mgeni nilikuwa najichosha nilipotonywa naonekana mjinga nikaamua kukaa pembeni, ni ujuha wa kiwango kushindana na mtu humjui, kila neno unabebelea ukiambiwa umuelezee adui yako huwezi, Mpaka watu wanashindwa kutumia jf kwa amani wanaondoka kwasababu ya maneno yasio na kweli yoyote! Nyie mabinti sijui wadada acheni kuwapa watu siri zenu, au kumtumia mtu pic zako na hakujui.. matokeo yake mnayaona, acha mtu aendelee kujifariji anakujua, humu penyewe machokoraa ndio wengi kuzidi wenye mwelekeo, ukakazane kujidharirisha kwa watu,kila mtu ana kiwango chake cha uchizi msione watu wamekaa kimya mkahisi mnawaweza! Ukiona mtu anakuignore hataki vita na wewe jiongeze tafuta adui mpya uache huo ufala mara moja! Nimesikitika sana tayana kuondoka kisa uzushi wa watu, sio kila mtu ana mudu maneno na vijembe! Huyu mjinga anayewafanyia wanawake huu ushenzi sio wa kumchekea naona anakutana na wapole! Mna vibarua na hao maadui zenu waliojichoresha kwenu wana kazi aisee..
Unachoka wakati unasemaga hivi ndio vitu unapendaga. Acha unafki cocaIla Selfika hapanaa, sio wanaume wala wanawake wanashusha gazeti zenye nongwa hata Zai Anakaa kujifunza?
Uwiiiiiih! Kwani shida nini humu ndani??
Nachoka kwa kweli, jamani wakija matajiri na ma boss wagawa vocha, mtanistuaa.
😂😂😂😂
Mimi nimegombana na nani mkuu, nimeandika tu ukiona milio ujue limempata mmoja!Dada angu Seran tatizo nn tena. Stay calm msigombane bana please🙏
Hizi raba unazo? Nataka nimchukulie dogo langu😍Muda ndo huu twendeni kupiga tiz tuweke afya vizuri, tuondoe vitambi na nyama uzembe..!!
Yaah msigombane bana💪Mimi nimegombana na nani mkuu, nimeandika tu ukiona milio ujue limempata mmoja!
Siuzi raba labda kijoraHizi raba unazo? Nataka nimchukulie dogo langu😍
Post madam😁😁😁Siuzi raba labda kijora