Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,670
- 102,585
Nibless basi mamaake leo najua wote tuko manyumbani tumepumzika😅Smart wangu anitosha mpaka nabakia!!
Nibless basi mamaake leo najua wote tuko manyumbani tumepumzika😅Smart wangu anitosha mpaka nabakia!!
Ndio leo eeh? Una kitovu kizuri☺️Happyboyfriends day🧡🥳
View attachment 3682875
Hauna size za wenye titi kilo 6?🤔Leo boyfriend's day 🧡😹niliandaa kwa ajili ya shemeji yenu❤️🥳🥳🥳🔥🔥🔥nitupie leoView attachment 3682881
Ipoooo🔥😹Hauna size za wenye titi kilo 6?🤔
Hivi Seroo haulemewi kweli?Hauna size za wenye titi kilo 6?🤔
Hebu nione sampo maana nina mzigo hapa sio poa!Ipoooo🔥😹
Nalemewa sasa ntafanyaje? navumilia tu siku ziende, mgongo na kifua vinaniuma acha tu, saaingine mpaka miguu inazidiwa uzito😔Hivi Seroo haulemewi kweli?
Mtindi wa kutosha na kifusi cha kwenda.
Bila kusahau kitambi.
Wapi wewe wakati type zenu ndo zinatrend mtaani.Nalemewa sasa ntafanyaje? navumilia tu siku ziende, mgongo na kifua vinaniuma acha tu, saaingine mpaka miguu inazidiwa uzito😔
Labda tukiwa gizani!Wapi wewe wakati type zenu ndo zinatrend mtaani.
Vijana wanapenda minofu.
Haya hebu tupia kamoja kwa niaba ya mashangaz wote wa JF.😉Labda tukiwa gizani!
Vinatishaa mkuu🤦🏽♀️
Huwa tuna hamasika tu baada ya kuona damu changa!Haya hebu tupia kamoja kwa niaba ya mashangaz wote wa JF.😉
Nipumzike kwaraha gani nizonazo lamama!! Kimeo kibovu kinatoa picha za ukungu lol!Nibless basi mamaake leo najua wote tuko manyumbani tumepumzika😅
Nipumzike kwaraha gani nizonazo lamama!! Kimeo kibovu kinatoa picha za ukungu lol!
Nawewe leo tubless aseeTu-bless hivyohivyo macho yataona 😀😀
Hivyo hivyo mama au uwe unaazima kama mimi🤭Nipumzike kwaraha gani nizonazo lamama!! Kimeo kibovu kinatoa picha za ukungu lol!
Oyaaaaaa 👀👀👀Happyboyfriends day🧡🥳
View attachment 3682875
Hiiiiiiiii 👀
Ebhanaeeee duh 🔥
Kabiiiiiiisa asee ufanye kuniazimaHivyo hivyo mama au uwe unaazima kama mimi🤭