Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,722
- 96,615
Hahah mtajuana wenyewe wacha mi nimalizie kilaji😜Uzi wa picha watu wanashikana mashati subiri nipite twende ziwani
Hahah mtajuana wenyewe wacha mi nimalizie kilaji😜Uzi wa picha watu wanashikana mashati subiri nipite twende ziwani
Bonge la spider🤩
La ziwaniBonge la spider🤩
Hilohilo😃La ziwani
Pedezee la JF lenye record zake za kuhonga dollar tupu..!! 😹😹Nisaidieni umbea na nyie mbona wachoyo? Babu miga ndio nani? 😂😂😂🤦🏻♀️🤦🏻♀️
Nimemaliza now kusoma comments .
Nirudi sasa jukwaa la siasa nikagombane na machawa..!! 😹Selfika ni ya kiwaki kwa sasa, ndio maana siwagi active humu, hadi kuwe na jambo ndio naingia.
Najionea shida, maana shengesha hamna, kumebaki micharuo tu.
Sasa mie micharuo nina chimbo langu sio humu.
😂😂😂😂
😂😂😂Nirudi sasa jukwaa la siasa nikagombane na machawa..!! 😹
Uduguu em niage kwa pic kali nione rangi ya dhahabu yenye umanga manga..!!
😂😂😂 ila wewe, kwa kweli Morena hotel wamlipe tu.Pedezee la JF lenye record zake za kuhonga dollar tupu..!! 😹😹
Ana pigo kama PAKA yu no PAKA weyee? 😹
Huyo anaomba appointment kwa pesa yoyote na ukikutana naye anakutwanga EKOTITE safiii ili kutunza kumbukumbu za hapa JF..!! 😹
Maeneo yake pendwa Morena hotel Msamvu ( Ni muda sasa Morena wamlipe kawatangazia soko) hapo pics za walimbwende wengi wa JF zipo hiyo hotel…
Ni hotel ya kifahari ya kupoa babu migambuti na bebez zake kutoka jiji la JF kitongoji cha selfika..!!
Ana mipira mikali inayoshawishi warembo kujishebedua… ana Bentley, Audi, Rangeeeeeeee, BMW na Benz kama zote..!!
Sasa hivi ana maparody mbalimbali kama……. 😹 siwasanui nitakosa risiti za kucahamgamshia kijiwe..!!
Wampe fungu lake kawafanyia promo sana..!! 😹😹😂😂😂 ila wewe, kwa kweli Morena hotel wamlipe tu.
Kawafanyia marketing sana.
Wee kuna kitu unatafuta, na utakipata nakuambia.Jamani em nishaurini nataka kuchange pic room kwangu, nataka niweke pic naked flani hivi za kwangu mwenyewe..!! 😹😹
Sasa wa kunipiga hizo pics ndo changamoto, sitaki mtu yoyote anipige. Nielekezeni jinsi ya kujifotoa zitoke kali..!! binti kiziwi cocastic wengine wataalmu wa photography njooni hapa mnipe maujuzi..!!
NB: Sio ile chiu kabisaa NO
Ni zile pic flani za vinjunga na top dress zile fupi… lakini za kishetani shetani..!! 😹😹
Leteni maujuzi sasa..!!
😂😂😂Wampe fungu lake kawafanyia promo sana..!! 😹😹
Hiyo kazi nipewe mimi naiwezaaaaJamani em nishaurini nataka kuchange pic room kwangu, nataka niweke pic naked flani hivi za kwangu mwenyewe..!! 😹😹
Sasa wa kunipiga hizo pics ndo changamoto, sitaki mtu yoyote anipige. Nielekezeni jinsi ya kujifotoa zitoke kali..!! binti kiziwi cocastic wengine wataalmu wa photography njooni hapa mnipe maujuzi..!!
NB: Sio ile chiu kabisaa NO
Ni zile pic flani za vinjunga na top dress zile fupi… lakini za kishetani shetani..!! 😹😹
Leteni maujuzi sasa..!!
😹😹😹Wee kuna kitu unatafuta, na utakipata nakuambia.
Wee haya, 😂😂😂😂
Sitaki mtu anipige 😹Hiyo kazi nipewe mimi naiwezaaaa
Haya ndo mambo sasa😇Kazi na utu