spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,827
- 23,385
Chati kwa picha
Ngoja niongee na boss utakubali kulipwa laki kweli😁😄😄😄😄
Fanya kunikonektia namie lamama !
Wapi uko wanalipa malaki kwa maelfuNgoja nipngee na boss utakubali kulipwa laki kweli😁
Bro mambo ya mitandaoni yasikusumbue akili kabisa wala kukutoa kwenye reli, ukiona yanaanza kukuzuzua log out.Naweza kuwa sina ufahamu wa kutosha, hivi mantiki ya kupost picha za hela huwa ninini eti?
Mindset ya miaka ya nyuma sana.!! Useless kabisaUkiona bado upo kwenye hatua ya kupiga picha hela kisha kushirikisha picha hio kwenye mitandao ya kijamii nadhani safari ya mafanikio ya kifedha ina hatua chache sana.
Mtazamo wangu tu lakini.
Wapo wanaolipwa mpaka elfu 50 salimia watu kijana😁Wapi uko wanalipa malaki kwa maelfu
Uwaweke wazi na hao wanaokushobokea halafu wanahisi kuna watu wanakupiku pembeni mara kuwaita wengine malaya, mambo hayaendi hivyo..Bro mambo ya mitandaoni yasikusumbue akili kabisa wala kukutoa kwenye reli, ukiona yanaanza kukuzuzua log out.
Mimi naishi maisha yangu najitegemea kuanzia kuvaa kula na kulala tangu niko 17 years till date nmeishi maisha yote mpaka ambayo huyajui simwogopi mtu yeyote zaidi ya serikali kwaiyo napost nachojisikia popote as long as it’s legal bila kufikiria mtu mwingine yeyote atanichukuliaje maana hana cha kunifanya na haniongezei wala kunipunguzia chochote kwenye maisha yangu.
Nyie ndo wale mkiona mtu anapush agenda yake mtandaoni mnafuata mkumbo mfano ndoa ni ubatili au usioe single maza au oa bikra tu and the likes, bro washa akili and stay on your lane
Nmeamua kuandika ili next time nikipost muache kujiuliza maswali yasio na kichwa wala miguu mnione tu kama limbukeni flani ivi wa maisha asie na ramani yeyote maana pesa zenyewe sina izo picha ndo zinanifariji sasa wewe unaumia nini au unafikiri ntakuibia makoloni yako 😂😂💔
kwani kuna tofauti gani mtu akipost picha ya hela na picha ya kuku mtu mwenyewe humjui unaeza kuta ni kapuku wa kutupwa, na hata akipost we zinakuumiza nini? Mbona picha zingine zinazopostiwa humu huulizi kwann zinapostiwa ********.!!
always stay positive minded uone maisha yanavokua rahisi both mtandaoni na kwenye real life. Hata siku moja usiruhusu maisha ya mtandaoni yakuchanganye.
Aww turudi kwenye uzi wetu huu umejaa nuksi tu kila jambo linawakera raia😬
mambo ya wanawake huwa siingilii na hayanihusu. Kitu kimoja nikuweke wazi sina time na wanawake wa mtandaoni tena nisiowafahamu.!! Kama kuna mwanamke nimewahi kumtongoza humu jukwaani au huko pm ajitokeze na ushahidi na akaunti number nimtumie 2000$ hapahapa watu wote wakishuhudiaUwaweke wazi na hao wanaokushobokea halafu wanahisi kuna watu wanakupiku pembeni mara kuwaita wengine malaya, mambo hayaendi hivyo..
Good afternoon!!
Basi hapa kila mtu yuko kujifurahisha! Hakuna aliye serious! Nimeamua tu kufikisha ujumbe wenye madukuduku wafunguke, maana naona wengine wanshindwa kufunguka!Tuko pamoja mkuu, hebu endelea kutubless wengine tunaenjoy tu😎mambo ya wanawake huwa siingilii na hayanihusu. Kitu kimoja nikuweke wazi sina time na wanawake wa mtandaoni.!! Kama kuna mwanamke nimewahi kumtongoza humu jukwaani au huko pm ajitokeze na ushahidi na akaunti number nimtumie 2000$ hapahapa watu wote wakishuhudia
Mi napenda sana utani huku mtandaoni maana ndo sehemu pekee naeza kujiachia kwa uhuru pamoja na kuwa najuana na watu kibao humu niliokwisha fanya nao biashara. Mambo mengine nje ya utani sijui na sina uhakika kama naitaji kuyajua.
Aww turudi kwenye uzi wetu huu umejaa nuksi tu kila jambo linawakera raia😬
Hata hivyo hapaeleweki tuondoke!💃🏽😁😁 hapa sijawaigi kuelewana na raia kabisa.
Twenzetu kule 🚶🏾♂️💨
Raia tuna moto hatari kuwa makini tusije tukakuunguza😁😁 hapa sijawaigi kuelewana na raia kabisa.
Twenzetu kule 🚶🏾♂️💨
My life my purpose 😎Basi hapa kila mtu yuko kujifurahisha! Hakuna aliye serious! Nimeamua tu kufikisha ujumbe wenye madukuduku wafunguke, maana naona wengine wanshindwa kufunguka!Tuko pamoja mkuu, hebu endelea kutubless wengine tunaenjoy tu😎
Msimuunguze rafkiangu mpoleRaia tuna moto hatari kuwa makini tusije tukakuunguza
Ukiwa na maisha magumu unakuwa kama mchawi. Unaona kila mtu anakuzidi na ili kutafuta faraja unashikwa na wivu wa kijinga na kuanza kuchafua watu.Humu ndani mpunguze kujihisi, acheni watu wachati kwa uhuru, sijawahi kusikia mtu umemzidi anakuwazisha hivi, saa nyingine watu tunajiandikia tu wala hatulengi mtu lakini unashangaa mtu anakuja kama anataka kukupiga! Wengine vita vya kuandika tunachoka, mtafute mtu personally ubabe wako uonekane, vita mpaka upate support.. nilipata malalamiko ya maneno ya kishenzi kweli, ukiomba uthibitisho hupewi! tuchague kuignore upumbavu mwingi mwingi uso na faida, kuna watu humu hata huwafuatilii ila akili zao wanajihisi unawasoma na kuwafuatilia! machokoraa kibao humu halafu mnahisi kuonewa wivu! Mtu akiandika kitu mnajihisi kama matahira! Anayewajali ana kazi kwakweli! Nilipokuwa mgeni nilikuwa najichosha nilipotonywa naonekana mjinga nikaamua kukaa pembeni, ni ujuha wa kiwango kushindana na mtu humjui, kila neno unabebelea ukiambiwa umuelezee adui yako huwezi, Mpaka watu wanashindwa kutumia jf kwa amani wanaondoka kwasababu ya maneno yasio na kweli yoyote! Nyie mabinti sijui wadada acheni kuwapa watu siri zenu, au kumtumia mtu pic zako na hakujui.. matokeo yake mnayaona, acha mtu aendelee kujifariji anakujua, humu penyewe machokoraa ndio wengi kuzidi wenye mwelekeo, ukakazane kujidharirisha kwa watu,kila mtu ana kiwango chake cha uchizi msione watu wamekaa kimya mkahisi mnawaweza! Ukiona mtu anakuignore hataki vita na wewe jiongeze tafuta adui mpya uache huo ufala mara moja! Nimesikitika sana tayana kuondoka kisa uzushi wa watu, sio kila mtu ana mudu maneno na vijembe! Huyu mjinga anayewafanyia wanawake huu ushenzi sio wa kumchekea naona anakutana na wapole! Mna vibarua na hao maadui zenu waliojichoresha kwenu wana kazi aisee..
Mkuu mambo ya wanawake achana nayo. Hawajawahi kushaurika kwenye iyo sektaUkiwa na maisha magumu unakuwa kama mchawi. Unaona kila mtu anakuzidi na ili kutafuta faraja unashikwa na wivu wa kijinga na kuanza kuchafua watu.
Haya mtu ana mahela yake anaamua kuyaposti humu. Kwa nini wewe ikuume wakati huyo mtu wala humfahamu? Kuposti kwake hela wewe inakuhusu nini?
Na nyie mabinti kuweni waangalifu humu. Siyo kila mtu wa kumwamini wala kukutana naye. Unapanda Audi ya boya, unapita Morena Hotel kuona alikofikia, anaibia anakupiga picha huyoo tayari anakuja kutangaza humu kuwa alikukula tena mande. People are sick and please be careful hata kama ni tamaa ya pesa basi kuweni na kiasi. Unatumia mvulana wa JF picha zako za uchi. Unategemea nini? 😡😡😡😡
Dahh inaumiza sana mkuu! Poleni kwa wahanga wanaotuma picha za uke uko piemuni, hope watajifunza!Ukiwa na maisha magumu unakuwa kama mchawi. Unaona kila mtu anakuzidi na ili kutafuta faraja unashikwa na wivu wa kijinga na kuanza kuchafua watu.
Haya mtu ana mahela yake anaamua kuyaposti humu. Kwa nini wewe ikuume wakati huyo mtu wala humfahamu? Kuposti kwake hela wewe inakuhusu nini?
Na nyie mabinti kuweni waangalifu humu. Siyo kila mtu wa kumwamini wala kukutana naye. Unapanda Audi ya boya, unapita Morena Hotel kuona alikofikia, anaibia anakupiga picha huyoo tayari anakuja kutangaza humu kuwa alikukula tena mande. People are sick and please be careful hata kama ni tamaa ya pesa basi kuweni na kiasi. Unatumia mvulana wa JF picha zako za uchi. Unategemea nini? 😡😡😡😡