Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika inafanya watu wawe na shauku ya kuonana kupitia hizi picha za kuibia ibia.

Wanapoamua kuzifanyia kazi hizo shauku ni juu yao. Mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuona hatari zilizopo.

Wanapoamua kuuziana via vya uzazi ni juu yao vile vile.

Moderators watashughulikia lugha mbaya tu. Mimi labda ningeshauri waifanye selfika iwe "members only thread".
Sasa ubaya unakuja wengine mpaka wapate akili kuona hatari n mpaka wameona nyapu zao zinajadiliwa ndo wapate hizo akili.

Binafsi tayari nshamchek Melo kuhusu kuufuta huu uzi
 
Sio kwa nia mbaya, na wala sitojali mtakavyonichukulia humu.

Huu uzi una husika kwa 100% kuzalilisha wengi humu hasa wanawake.

Mbaya zaidi uzi ulianza na ulikuwa na nia njema ila kuna watu wanatumia hiyo nafasi kuumiza wengine.

Mdada unaweka picha na unaifuta ndani ya dkk moja ila hapo tayari kuna screenshot zaidi ya 20 zimefanyika ili kuja kukudhalilisha.

Moderator Maxence Melo Huu upuuzi ambao mnaoukuza humu ipo siku utatokea kwa mabinti zenu wa kuwazaa.

Huu uzi usipofutwa ndani ya siku chache zijazo, Maxence Melo Ijumaa hii nitakufata pm kukuonyesha vile watu wanadhalilishwa kupitia mnachokilea hapa
Hakuna aliyedhalilishwa, member kutuma pic yake ya uchi pm inahusiana vipi na uzi?
 
Back
Top Bottom