Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,316
- 11,697
Wenzangu wanashindwa hadi wanakuanzishia uzi hujijui tu wewe ni pisi ya maanaHivi unawezaje??🤔
Hebu pita kwanza tunaongelea sana mate!!
Huku kwetu isimikinyi vumbi jingi picha hazitoki vizuri
Wenzangu wanashindwa hadi wanakuanzishia uzi hujijui tu wewe ni pisi ya maanaHivi unawezaje??🤔
Hebu pita kwanza tunaongelea sana mate!!
Huyu kipigo nilichompa hadi kukimbia I'd yake kwa muda hawezi kupona kamwee.Hawaiombi hivyo..!!
Kwa taarifa yako coca ni pisi ya kwendea hana hata hizo ndevu unazosema. Acha chuki zako..!!
Selfika yako tuone 😹
Nataka kukupeleka fun city kigamboni😎Namsikiliza ngoja tuone anasemaje
Vincenzo Jr
Kwanini zinishinde vin?Utaziweza 😃😄😁
😂😂😂😹😹😹😹
Ole wako sasa unicheke View attachment 3672556
Kwahiyo nawewe unawaamini hao wapuuzi? Hujui akili za gen zero?Wenzangu wanashindwa hadi wanakuanzishia uzi hujijui tu wewe ni pisi ya maana
Hahaha hizo ndio tunazozitaka😎Huku kwetu isimikinyi vumbi jingi picha hazitoki vizuri
Ukiwa umeokoka ndio vizur wakat wa elnino uje nikuungamishe kwenye chumba cha kuungama hapa getton kwanguWengine tumeokoka baba, mambo ya kujiongeza hivi hatuvijui🤦🏽♀️
Tusije tukaaanza kukupepeea na feni 😄😄😁😄 mimi day one nilipiga nikahisi kama na paa vile baada ya kupelekwa nyumbani kila nikifungua mlango nashindwa nikalala kibarazani baadae ndio akili inarudi ila nilipigwa na hangover moja matata mnoKwanini zinishinde vin?
Sarama rekoYaan sahivi nina mustachii, udevu una undindi, Sheikh kabisaa wa kutoka muscat, oman..
Hujamboo??? 😂😂😂
Getton tena! We baba.. unaanzaje kuniweka geto na huu utu uzima wangu?🙄Ukiwa umeokoka ndio vizur wakat wa elnino uje nikuungamishe kwenye chumba cha kuungama hapa getton kwangu
Yakheeh Sheikh kwemaa?! 😂😂😂Sarama reko
Why always uKwahiyo nawewe unawaamini hao wapuuzi? Hujui akili za gen zero?
Saiz tunawasha vibatali labda kesho mida ya saa 6 ukungu ukitowekaHahaha hizo ndio tunazozitaka😎
Aanh wapi hiki kichwa kingine, yani mpaka nazichanganya na siwehuki!! Tena umenikumbusha nna kajoint kamoja hapa kwenye pochi yangu, kana siku ngoja weekend nikanamna gani! 😎Tusije tukaaanza kukupepeea na feni 😄😄😁😄 mimi day one nilipiga nikahisi kama na paa vile baada ya kupelekwa nyumbani kila nikifungua mlango nashindwa nikalala kibarazani baadae ndio akili inarudi ila nilipigwa na hangover moja matata mno
Mtu mzima dawa nakuungamisha mama paroko wanguGetton tena! We baba.. unaanzaje kuniweka geto na huu utu uzima wangu?🙄
Kabisa unaniuliza huo utoto mimi? Kwani huoni wengine wanaanzishiwa pia, si mtu anatafuta attention kupitia mtu mwingine and thats it hakuna cha maana hapo!Why always u
Hahaha vibatari vilienda na el nino ya miaka ile! Acha kutuchota😃Saiz tunawasha vibatali labda kesho mida ya saa 6 ukungu ukitoweka
Mbona nmetuma mara kibao tu ila unanikataa! Unalazimisha niwe pisi uliyonayo kichwani🤣Tupiamo wewe ulieko daslama tukuone
Maajabu haya kuungamanishana magetoni😆Mtu mzima dawa nakuungamisha mama paroko wangu