Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,706
- 93,923
Kumbe kuna uzi kuchafukwa na hamtwambii🥲Do the needful kabla uzi haujachafukwa mnywani!
Kumbe kuna uzi kuchafukwa na hamtwambii🥲Do the needful kabla uzi haujachafukwa mnywani!
Risk tenaah!!We changanyikiwa at ur own risk baba mimi sihusiki🙌🏾
Mnataka kuchinjana live😃Kwani Kuna harufu ya damu mnywani
Nimeingia asubuhi nkaskia usiku nusura damu zimwagike ila huu uzi ina helaheka sijawahi ona.Kumbe kuna uzi kuchafukwa na hamtwambii🥲
Yani unaenda kufanya nn masjid kama unajiandaa kushuhudia vita kijana😆Ngoja niingia masjid nikirudi uhakika
Wachawi kama wote, nongwaa🙌🏾Saivi wanga wengi mnywani ule uhuru haupo tena
Wanamuonea ma mchungaji hanaga shida na mtu! Sijui kwanini wanachagua wanyonge tu🥲Nimeingia asubuhi nkaskia usiku nusura damu zimwagike ila huu uzi ina helaheka sijawahi ona.
Nasubiri hapa lamama. Wee tupia zako tu tabia ya mtu nikama ngozi.Ngoja nikubless ili wenye maumivu makali kina chino wapate cha kuzungumza leo😎
Jana kulikuwa na pisi za hatari na mikaka mizuri tushagawana sie we si unalala bana😎Yaani unataka kusema nilipitiwa?
Kaa kimasta humu ushaambiwa na kina deputy melo😁Risk tenaah!!
Wayback saii zingeshatembezwa na ban zakushatroooo nauzi ungekua ushapigwa pin au haupo khakhakhaaa! Ngoja tuoneKumbe kuna uzi kuchafukwa na hamtwambii🥲
Afadhali nimehakikisha chino hayupo, hachelewi kusema hii picha nilikuwa naye loh😂Nasubiri hapa lamama. Wee tupia zako tu tabia ya mtu nikama ngozi.
Waweke humuuuu 🚮Wachawi kama wote, nongwaa🙌🏾
Uchawa hadi kwenye pisi kali so kweliiKaa kimasta humu ushaambiwa na kina deputy melo😁
Jamani sasa hayo yote ili iweje?😆Wayback saii zingeshatembezwa na ban zakushatroooo nauzi ungekua ushapigwa pin au haupo khakhakhaaa! Ngoja tuone
Yani mimi ndio nilishatupa chooni kabisaa🚮Waweke humuuuu 🚮
Hahahhaha, mie ninae tayari hizi gombania goli za jf sizitaki🙌Jana kulikuwa na pisi za hatari na mikaka mizuri tushagawana sie we si unalala bana😎
We utakoma! Jitue😃Uchawa hadi kwenye pisi kali so kwelii
Aiiiiiiiiiiiiiiiiriririiii 🔥🔥🔥🔥🔥Afadhali nimehakikisha chino hayupo, hachelewi kusema hii picha nilikuwa naye loh😂