Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 40,281
- 96,626
Mashalllah 😍😍😍Nishatupia hapo juu na saii bado ipo! Nasubiri unibles udugu fanya mambo kwa kuchat na picha nimemiss high heels siku unifundishe kuvaa high heels unitoe ushamba uduguu ako!
Hii miguu Mio anaifaidi kuinyanyua milaini na mizuri afu rangi ya mtume..!! 😘
High heels mi nilianza mapema kudandia viatu vya mama..!! 😹
Yani nisipovaa viatu virefu naona bado kuna vitu vimepungua..!!
Kuna siku nilivaa kwenye live band kwenye kucheza nikamkanyaga mtu tukaanza kugombana..!! 😹😹😹