Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Ni kama hivi mkuu,afu nilikuwa peke yangu tu kwa hiyo space KubwView attachment 1292075a tu mkuu.
Hahaha full kujinyoosha kwenye bonbadya na treni yetu ya kwenda moshi au siyo mkuu.Si mchezo. Sasa kila siti kuanzia ndege, basi, treni, zilitakiwa kuwa hivyo.
hahah wewe wasema
Huu wimbo mtamu balaa ndo nausikiliza muda hii.Sanaaa, yani nasikia kiraha fulani hivi kila napoisikiliza....wa BSS sijamuona
hahah sawa ila si kwa kasi ile, upo njemaHahaha nimecheka....Sasa Emay picha si uliona? Ulitaka ikae mpaka saa ngapi na vile haikuwa hata na Emoj
Nakusalimia pia kaka angu, me sijambo kabisa





Kuwa na adabu we mtoto.We manzi acha fujo
Nipe maoni yako kwenye upishi wangu mpendwa.Dah !!!
Whaaaaaat!! Dust bin🙆🙆🙆