Mwanamke aliyevaa hijab
Yule engineer
Mwanamke aliyevaa hijab
Yes mkuuYule engineer
Mmmmmmh!
Na mimi nakuunga mkono mmmmmmmmmmmmhMmmmh!
Karibu kuna outdoor places km Oasis , au mto wamawe pia ukafanya hiking kwny milima ya uluguru .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na mimi nakuunga mkono mmmmmmmmmmmmh
Kwa mkuu umekufwa maana jamaa kafariki.
Namzingua hata simjui huyo jamaa yeye ndio amenistua kwamba ni mkenya
Moro nimeishi km mwaka hivi pale Shamba Street ,ofisi Madaraka road
MTC | 101| [emoji769]
Abeeee
Na mimi nakuunga mkono mmmmmmmmmmmmh
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi milima ya Uluguru kuna nini mkuu?? Huwa napenda kufanya hiking kwenye milima ambayo ina vivutio mfano Udzungwa nilienda kuangalia maporomoko ya maji kule juu kabisa na Kilimanjaro inshaallah siku moja nitapanda kuenda kuona barafu kule juu kabisa japo najua watu hawafikagi kule wanaishia Kibo na Mawenzi tu[emoji16][emoji16]
Mbeya nina mpango wa kupanda milima ya Loleza na Usangu karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujambo dada
Tumekumind wa Kihonda hahahah[emoji706][emoji706][emoji706]
Sijawahi panda treni TZ...treni pekee nitakuja panda ni SGR ikianza...sababu ni fast train...
Hamia Moro basi niwe naja kula bata wikiendi hadi mkwe Jael aone wivu
Umaarufu wake ulianza kitambo hicho, by then kunaanza ndio ilikuwa mji mpya wenye nyumba za kisasa...halafu zipo kwa nafasi