Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Hahah...sasa hapo kuna gani ya kumimd mimi, wewe mdada wa Forest Mpya?Tumekumind wa Kihonda hahahah



si ndio hapo sasa
Utajua tuuuuuHahah...sasa hapo kuna gani ya kumimd mimi wa Forest Mpya?
Haha hivi kumbe weye waishi Moro?? Mie kuhamia huko itategemea mkuu labda nipate shughuli permanent ya kufanya huko!!
Namzingua hata simjui huyo jamaa yeye ndio amenistua kwamba ni mkenya
Pole best.
Mkimaliza story zenu za mikoani mniambie nianze kuweka selfie nilizoscreen shot hapa! Moja baada ya nyingine!
Hebu hukoo, Shkamoo mezaa kijiji?!
Malizeni kwanza jamani!! Niko nazo mob sanaa!!
Nope i dont...that was past experience...way back kabla hata hujaona dunia hii
Hebu hukoo, Shkamoo mezaa kijiji?!
Muone kwanza
Okay...hata mimi wapo walikuwa kabla sijakuwa
Ndiyo. Na ni majirani kabisaHahah...kwani mna hisa huko?