Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,216
👏👏👏
Afu hiyo one o one ni ile lounge ya Njiro au?
👏👏👏
Unaongoza kati ya wale wanaotoa picha ndani ya sekunde bandika bandua kama unachoma chapati vileNaongoza nini?
Naomba mwambie baba paroko kama naweza kuja kanisani kuungama dhambi zangu za 2019
Naona baba paroko siku hizi anafutia simu kwa kakitambi dear!



mmhh mie naenda na huu uzi sambamba ila sijaona picha yako eti,, naomba unitag huko ulikoweka hebu..
Utetesi uzi si bure kuna picha niliweka sikuwahi kufuta ipo hadi leo pia ya jana sikufuta ipo mpendwa
Sanaaa, yani nasikia kiraha fulani hivi kila napoisikiliza....wa BSS sijamuonaHii ngoma nyoko sana Dogo kapatia sauti kama Beyonce, yule Wa bss sauti haikuwa mzuri hata kidogo.
Hili jambo la kutaka shikamoo unataka kuninyima nini kwamfano...Malahabaaaaa hujambo
Kwa mfano wewe ungependa nikunyime nini?Hili jambo la kutaka shikamoo unataka kuninyima nini kwamfano...
Karibu sana nikuungamisheNaomba mwambie baba paroko kama naweza kuja kanisani kuungama dhambi zangu za 2019
Koh koh koh!Simu kubwa nimeacha home hapa nipo ofisini na kitochi!!
Usijali kabisaa dear, ombi lako litafika salama!!Naomba mwambie baba paroko kama naweza kuja kanisani kuungama dhambi zangu za 2019
Maombi yatachukua masaa mangapi baba parokoKaribu sana nikuungamishe
😂😂😂😂😂
Mnataka za kuganda nendeni FacebookUnaongoza kati ya wale wanaotoa picha ndani ya sekunde bandika bandua kama unachoma chapati vile
Felly umeanza enhee? 😊 😊Koh koh koh!
Pole sana umeikosa nimekuiga wewe ile ya bandika bandua,