Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,981
Mkongwe mwenyeweInachelewa kufutika kama dk 3 hivi au zaidi
Mkongwe mwenyeweInachelewa kufutika kama dk 3 hivi au zaidi
Mie nilikazania mazoezi kika pungua asee...now kinarudi kwa mbaali baada ya uvivu kuja.Vitambi sio vizuri
Vipi shemeji yangu anakosaje kitambi wakati wewe nimpishi hodariYes magonjwa yanaunga urafiki na mwili
Ukweli mchungu.Yes magonjwa yanaunga urafiki na mwili
Mazoezi na balance diet viende sambambaMie nilikazania mazoezi kika pungua asee...now kinarudi kwa mbaali baada ya uvivu kuja.
Asubuhi huwa namuandalia maji ya uvuguvugu anywe kikombe kimoja.Vipi shemeji yangu anakosaje kitambi wakati wewe nimpishi hodari
FactMazoezi na balance diet viende sambamba
Punguza kula vitu vya sukari na ndugu yake mafutaMie nilikazania mazoezi kika pungua asee...now kinarudi kwa mbaali baada ya uvivu kuja.
Nita jitahidi nipunguze nyama...nyama zinani vimbisha kitambi.Mazoezi na balance diet viende sambamba
Asee mbadala wa sukari ni nini? aisee, soda na juice nimepunguza kiasi na sukari kwenye chai naweka kidogo sana.Punguza kula vitu vya sukari na ndugu yake mafuta
Asubuhi huwa namuandalia maji ya uvuguvugu anywe kikombe kimoja home ipo mashine ya mazoezi.



Unamtetea Mr....


daah ushanitamanisha,, leo usiku ndiyo itakuwa dinner yangu hiyo.. naisindikiza na kabalimi au kasafari kamoja halafu nalala
Hana nakwambia na akianza kuwa nacho huwa nampiga tukio kinapunguaUnamtetea Mr....
Ukianza kunywa kabia ka safari nijulishe nitkuongeze nyinginedaah ushanitamanisha,, leo usiku ndiyo itakuwa dinner yangu hiyo.. naisindikiza na kabalimi au kasafari kamoja halafu nalala
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukianza kunywa kabia ka safari nijulishe nitkuongeze nyingine
Unampiga tukio gani¿ la kumcheat ili apate stress sio?Hana nakwambia na akianza kuwa nacho huwa nampiga tukio kinapungua
Safari ndiyo nataka ili ukisindikize vizuri
daah ushanitamanisha,, leo usiku ndiyo itakuwa dinner yangu hiyo.. naisindikiza na kabalimi au kasafari kamoja halafu nalala
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbadala wa sukari hamna mpendwa bali unaweza kupunguza kunywa baadhi ya vinywaji.Asee mbadala wa sukari ni nini? aisee, soda na juice nimepunguza kiasi na sukari kwenye chai naweka kidogo sana.
Nipunguze supu na nyama choma labda.
Sio hilo 😄😄😄Unampiga tukio gani¿ la kumcheat ili apate stress sio?