Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Punguza wangaAsee mbadala wa sukari ni nini? aisee, soda na juice nimepunguza kiasi na sukari kwenye chai naweka kidogo sana.
Nipunguze supu na nyama choma labda.
Punguza wangaAsee mbadala wa sukari ni nini? aisee, soda na juice nimepunguza kiasi na sukari kwenye chai naweka kidogo sana.
Nipunguze supu na nyama choma labda.
Sema sasaSio hilo![]()
Asee mavitu ya kuchemsha mamihogo magimbi na vitu kama hivyo napeleka sana.Punguza wanga
Hayo ndo wanga mkuu!Asee mavitu ya kuchemsha mamihogo magimbi na vitu kama hivyo napeleka sana.
Haya mavyakula mzee baba unafanya mazoezi mafuta na jibini kwa wingi
AsanteeHayo ndo wanga mkuu!
Kula mboga mboga kwa sana!! Njegere kwa sana, maharage na jamii zote za mikunde
Safari ndiyo nataka ili ukisindikize vizuri
Najitakia safari njema.View attachment 1292049
Leo nataka kuona unavyowewuka ukigonga safari
siyo poa unachokifanya
siyo poa unachokifanya
siyo poa unachokifanya
nakusubiri kwa hamu sana..