Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani meliona nikacheka sana, kumbe huwa unayaegesha eeehhh!! Save yo pole baba paroko!
Nilisikia tu save your sorry aluuuuu[emoji24][emoji24] nikatoka mbio.nikajua nimeharibu mood ya mtu, [emoji16][emoji16]ua the best friend to keep a good heart girl [emoji66] unaanzaje kuwa mkorofi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa anaweka ila sasaaaaa kuziona inahitaji mtu uwe JF tena kwenye huu uzi masaa 24 usifanye shughuli nyingine maana haujui siku wala saa ambayo ataweka picha,, na akiweka ndiyo haikai hata sekunde mbili kwahiyo hata akikutag kwenye hiyo picha hadi uje uone notification uifungue bado utaikosa tu.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwanza Karma wee unamtetea huyu mtu, mpaka hapo umemtetea sana, yeye hajawahi weka hata picha huyu mtu Hawachi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom