Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,394
- 191,475
Eeh mzee baba leo nimeamua ninyonye kimea taratibu, ni baada ya kukutana na qoute flani eti, "Kunyweni bia jamani, mungu huangalia roho na si maini!"🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu niambie mzee mwenzangu naona unatupia bia