Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Sawa nasubiri.Nitaweka baadae mpendwa
Wakati unasubiri yangu weka yako mpendwaSawa nasubiri.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Depal ndiyo kiongozi
Natumia computer haina pic.Wakati unasubiri yangu weka yako mpendwa
Mmh basi sawa[emoji1317]Mkuu vibaya hivo!jina.la kike kabisa hilo labda unambie hiyo picha ndo inachanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufutio utakua wa Diamond
[emoji3590]Hatimaye leo
Kiongozi wa nini tena dear 😄
Haiwezekani kuwekaNatumia computer haina pic.
Pic zipo kwenye simu.
Kaka pole kakubania wewe TU watu wanabomoa Kama kawa na picha anapigwa......pooooh mdomo koma[emoji12][emoji12][emoji12][emoji30][emoji30][emoji30]hivi unajua Atoto wewe ndio unanibania
Simu kubwa nimeacha home hapa nipo ofisini na kitochi!!Haiwezekani kuweka
Shikamoo ni utumwa wala usijihangaishe
Siku hizi umenonaa baba parokoBandika banduaView attachment 1291885
Leo nimekatwa miguu nipo home [emoji23]
Mimi nakuamini kwa kuyaegesha paroko! Halafu too bad huwa yananiangukia mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku huwa nayaegesha tu ukijichnganya yanakuangukiaView attachment 1291924