min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,287
- 127,303
Hahaha sio mimi kiongozi 😅Brother una AFYA
Hahaha sio mimi kiongozi 😅Brother una AFYA
Unatukataa EEEEEEEEHahaha sio mimi kiongozi 😅
Hao vitukuu wa fundikira; nimecheza nao magomeni; hata hili jina la kapachino ndio walinipachika.niite chief basi, maana kuni ita mboka manyema bila heshima yangu una kosea.
Utawala wa ki chief unge endelea kuwepo, huyu Kapachino ninge mgeuza mbeba matunda kunigwa.
Maharage nimeyatamn mwee
Siwezi furahia kufungwa na wewe maana ni DhahamaSi umeona siku ile goli 1 lile la Batistuta ukawa unacheka, ndo nataka niwe napata matokeo kwa namna ile yani ufurahie kufungwa na mimi 😂
Wee jamaaa mbona unanijua hvo daaah Et ulongoni A kweli ww ni agent 007 kaka we noma 😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵🙌🙌🙌🙌Dogo hutaki kazi basi nenda kaingize nyimbo kwenye library ya Poor Brain Gongo la mboto, Ulongoni A
Nije na Nazi zangu 4 eh?Maharage nimeyatamn mwee
Enzi izo kwenye harusi! Tulikua tunavamia sana masufiria ya ukoko; au kama wameweka ndoo ya nyama vibaya unafika, unaifungua unachota nyama then shwaaaa haha.Ukaona ukivaa shat utachelewa kupiga picha 😂
Kuna watu wamebahatika kuwa na udongo mzuri akiwemo huyo Baba yako MkubwaIf that's true , unalingana na baba angu mkubwa.
Ila kwa Sasa ni mzee sana sanaa kazeeka sana yupo kwenye 90's
Hongereni Mkuu, ila mkiweza mvutieni Umeme wa REA shilingi 27,000 tu😃Hii mbona tunatumia adi leo kwa bibi kule
Tezi dume inasumbua currently... Au itakua sababu ya kutembeza rungu la comrade kipepe 😊😁Kuna watu wamebahatika kuwa na udongo mzuri akiwemo huyo Baba yako Mkubwa
Mungu amjalie maisha marefu, kama hatokuwa na maradhi ya mara kwa mara anaweza kugonga miaka 100+ 🙏🙏🙏
Vijana wengi waliozaliwa baada ya Umeme/watoto wa kishua wengi hawajui hiyo taaDah vitu vyetu hivi, madogo kama kina binti kiziwi, Selikavu, Razorblade, Edo kissy, dosho12 una wapoteza kabisaa.
tena huyu Kapachino ana weza dhani taa ya aladini hiyo 😂😅
Hivi tezi dume huwa inatokana na kutembeza sana rungu la comrade kipepe 🙌Tezi dume inasumbua currently... Au itakua sababu ya kutembeza rungu la comrade kipepe 😊😁
Ana bahati sana yule mzee alisomaga Russia ni mjamaa kweriiiii kweriiiii
Mitihani kuvuja ilianzia Mjini kisha Tanzania nzimaMzee Grahams mwaka 98 nini kilitokea paka mtihani WA form four sijui form six ukafutwa??
Yaan kulikuwa hamna simu how comes Tanzania mzima was affected
Ulianzia kujifunza yale mambo yetu au?😅🙌Hapo ndio nilianziaga kujifunza hahaha! Enzi izo nilipigwa pocket money yote
Tutafanya hivyo mkuu ngoja tujipateHongereni Mkuu, ila mkiweza mvutieni Umeme wa REA shilingi 27,000 tu
Mkiona gharama, mfungieni Umeme Jua (Solar panels system) Kwa shilingi 570,000 baada ya hapo, hatowadai token za Luku tena
Hiyo taa nilitumia kujisomea kuanzia standard one hadi nikamaliza Kidato cha Nne, umeme nikaenda kuukuta nilipoenda highschool na Chuo Kikuu 🙌
Kweli tumetoka mbali 🙏🙏🙏
Kweli ni moja ya sababu watalaam wanaelezea..Hivi tezi dume huwa inatokana na kutembeza sana rungu la comrade kipepe 🙌
Kama hivyo ndivyo, basi tuandae kabisa hela za kwenda India kutibiwa
Wanaume wengi tutakuwa na hilo tatizo kasoro Mimi Babu yenu tu 😜
Duh .....hiyo hatari aiseeKweli ni moja ya sababu watalaam wanaelezea..