Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,956
- 12,419
Si umeona siku ile goli 1 lile la Batistuta ukawa unacheka, ndo nataka niwe napata matokeo kwa namna ile yani ufurahie kufungwa na mimi 😂Aah wewe si mtu wa soka safi acha sisi wa haram football tufanye kazi