Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,052
- 33,743
Mwamba wangu mmoja tu hapo Torres ana 42😃halaand goli 29 league.
Salah 24.
vinicious 14.
Mwamba wangu mmoja tu hapo Torres ana 42😃halaand goli 29 league.
Salah 24.
vinicious 14.
Master league sio sawa na game la simu, kenge maji 🤣Mwamba wangu mmoja tu hapo Torres ana 42😃
Nkamu😍😍😍😍 nimefurahi sana kukuona tena mweeMiss you Mama
HayaIlikaaa dakika zake za kutosha kuona kimya nikaipeleka kulala😃
Kitu ambacho sikubaliani na wewe ni kunielekeza gameplay yako 😂Me nakubaliana na wewe kila kitu... Wewe sasa😂😂🙌
Mkuu leo game limefunguka bila shida halafu ilikuwa ni kugusa tu mali imetembea, Lukashenko ameninyima win nyepesi leo 😂Yan unamzidi mtu wa pili point nne ukidraw ukafungwa umeenda yoo...😃😃angalia ma master hapaView attachment 3466189
Na wewe ukiwa miongoni mwao😃😃Haya
Irudie sasahivi
Watu wamelala
Ungenifata Mimi utoe gundu😃😃Mkuu leo game limefunguka bila shida halafu ilikuwa ni kugusa tu mali imetembea, Lukashenko ameninyima win nyepesi leo 😂
Aah wewe si mtu wa soka safi acha sisi wa haram football tufanye kaziKitu ambacho sikubaliani na wewe ni kunielekeza gameplay yako 😂
kulala sio dhambiAah wewe si mtu wa soka safi acha sisi wa haram football tufanye kazi
Leo si nikajichanganya kuoga usiku😃😃kulala sio dhambi
kisingizio cha kupiga passport, mbona mi huwa naoga saa 7 na bado nalala vyema.Leo si nikajichanganya kuoga usiku😃😃
Nipo hapa usingizi haupo asee haya maswala tuwaachie wazungu 😃
Ni wewe me nikioga usiku ni kama nimeutaarifu mwili kuwa kazi kazi uwe activekisingizio cha kupiga passport, mbona mi huwa naoga saa 7 na bado nalala vyema.
Basi kaka acha nilale, nisije pitwa na hii episode 🦅Ni wewe me nikioga usiku ni kama nimeutaarifu mwili kuwa kazi kazi uwe active
If that's true , unalingana na baba angu mkubwa.Mwaka 96 nilikuwa nina miaka miwili tangu nistaafu kazi
Umekimbia shemeji 😊sameja Dr am 4 real PhD upo macho nataka nipite naked kabisa
hapana nipo sikupata notificationUmekimbia shemeji 😊
Nilipitwa na ile picha Yako embu itume tena😊hapana nipo sikupata notification
Nilikuwa nasema hii simu leo imepata shida gani mbona nyepesi hivi 😂Ungenifata Mimi utoe gundu😃😃