ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,256
Kuna uvaaji mwanaume akivaa unaona kabisa huyu hana mpango wa kuoa leo wala keshoMadogo wa 2000 wananionaga dogo mwenzio kumbe km zimesoma sana..
View attachment 3465586
Kuna uvaaji mwanaume akivaa unaona kabisa huyu hana mpango wa kuoa leo wala keshoMadogo wa 2000 wananionaga dogo mwenzio kumbe km zimesoma sana..
View attachment 3465586
Hamnipati ng'ooooo
Kwamba hutaki kuselfika?Hamnipati ng'ooooo
Ndio hamtanipata tena selfika haiwezani dada yako nikawa nasellfika daily ww hata mguu tuu umegoma...Kwamba hutaki kuselfika?
hahaha tunaenda na soko la vitoto vya 2000.Kuna uvaaji mwanaume akivaa unaona kabisa huyu hana mpango wa kuoa leo wala kesho
Anatubania mshepu wa kibantu😭😭Ndio hamtanipata tena selfika haiwezani dada yako nikawa nasellfika daily ww hata mguu tuu umegoma...
Ndoa ni kuchanganyikiwa bwasheehahaha tunaenda na soko la vitoto vya 2000.
Ndoa ya nini? Nilioa nikakimbiwa.
Kikubwa ni watoto.
Hivi kuselfika aje ukidelete na picha inafutika kabisa?Ndio hamtanipata tena selfika haiwezani dada yako nikawa nasellfika daily ww hata mguu tuu umegoma...
Labda watoto wa 2010hahaha tunaenda na soko la vitoto vya 2000.
Ndoa ya nini? Nilioa nikakimbiwa.
Kikubwa ni watoto.
Selfika wa kwetuNdio hamtanipata tena selfika haiwezani dada yako nikawa nasellfika daily ww hata mguu tuu umegoma...
Ndio inafutika ila kuna wale wa kuscreen shot..kuna rfk mmoja humu alitunza picha yangu mpk leo aliiscreen shot..so si umeficha vipande vya mwili so haina ubaya...Hivi kuselfika aje ukidelete na picha inafutika kabisa?
Daah nimestaafu wa kwetu...waje na wengine sasa..Selfika wa kwetu
Basi tulia hapohapo nipite kwa speedNdio inafutika ila kuna wale wa kuscreen shot..kuna rfk mmoja humu alitunza picha yangu mpk leo aliiscreen shot..so si umeficha vipande vya mwili so haina ubaya...
Nipo nasubiri fanya chap kwa haraka...Basi tulia hapohapo nipite kwa speed
Sio poa wa kwetu , uje nimekumis sana😊Daah nimestaafu wa kwetu...waje na wengine sasa..
Nipo nasubiri fanya chap kwa haraka...
Hapana wa kwetu umri umeenda sasa zije damu changa..😊😊😊Sio poa wa kwetu , uje nimekumis sana😊